Wenye kuelewa tushaurieni, tutalizwa tena au iko poa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye kuelewa tushaurieni, tutalizwa tena au iko poa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakuruvi, Jan 5, 2012.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kuna habari toka Michuzi blog kwamba kuna jamaa wanaweza kusaidia waliolizwa na makampuni ya Japan katika uagizaji magari. Wadau hili mnalionaje? kuna uwezekano hapa, kama kuna yoyote aliyewahi kupata msaada wa jinsi hii atujuze na pia kama kuna mashaka mtujuze pia, nawasilisha.

  MICHUZI
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ulisha lizwa nini? ndg
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Dawa yao uongee nao na uelewe terms za huo msaada. There is no free lunch, didn't ur parents teach u that?
   
Loading...