ni mwiko pesa za msaada au mkopo kutoka benki ya dunia kujengea kiwanda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni mwiko pesa za msaada au mkopo kutoka benki ya dunia kujengea kiwanda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bona, Jan 4, 2012.

 1. bona

  bona JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,797
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  ndugu zangu nashangazwa sana na huu utaratibu wa kutumia pesa za misaada kutoka kwa wafadhili wetu ( wazungu) au pesa za mkopo kutoka kwa hao hao mabwana wakubwa, kila pesa inatumika kwa kujenga barabara na kidogo sana labda kwa shuguli nyingine lakini huwezi sikia pesa iyo imetumika ktk kujenga kiwanda au kufufua manufacturing industry au kilimo?


  manufacturing and agriculture sector andio chachu ya maendeleo kwa nchi yoyote ile duniani, hata industrial revolution imeanzia kwenye sekta hizi, kuendelea kwa china, marekani na sasa nchi kama brazil na india kumeanzia kwenye sekta hii iweje huku kwetu inaonekana kama ni kitu si cha lazima sana? au tunalazimishwa tusitumie izo pesa ktk sekta hizi mbili tajwa hapo juu?
   
 2. j

  janejean Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo barabara watu wanapiga cha juu. utajuaje kama hazikutumiwa kujengea viwanda?
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,570
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Wazungu hawataki fedha za kodi zao zitumike kwa ajili ya miundo mbinu muhimu kwa maendeleo katika nchi za ulimwengu wa tatu ili msijitegemee! Ndiyo maana awamu ya tatu ya utawala, ilijikita kwenye makusanyo ya kodi zetu ili kujenga barabara za lami kwa mikoa iliyobahatika.
   
Loading...