• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Mshawa
Reaction score
100

Profile posts Latest activity Postings About

  • Mshawa
    Poa mkuu nilikudirect kwa bwna mmoja wa Sinza, hongera kwa hatua nzuri nadhani utakapo anza jan hutapata shida sana ya majani coz weather ni nzuri i am sre hata vyakula vitapatikana kirahisi all the best
    CHE GUEVARA-II
    Hivi wewe nd'o ulini-direct kwa Feisal mwenye ng'ombe wengi kibaha, au ni kwa yule jamaa wa Sinza? Niliwasiliana na watu wengi hadi nachanganya! Ng'ombe natarajia kuwachukua Dec/Jan. Nataka nianze kujenga banda mwz Dec trh 20-31. By Jan, 2012 nitakuwa nimeshawapata (Feisal sijawasiliana naye lkn jamaa wa Sinza niliwasiliana naye akasema ano, kiasi kwamba nikichelewa nitakuta alishauza - alisema nikawaone. Labda nitapita trh 23 Nov kuwaona, niko Mtwara kwa sasa. Asante
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top