"Nitumaini langu kubwa kuwa ndugu zangu wanafunzi wa vyuo vikuu muwazima wa afya. Naomba nitoe pole kwenu wanachuo kwa kila yaliyowakuta wakati mkiwa safarini kuelekea kilele cha mafanikio...
Namshangaa sana rais kikwete a.k.a Mr kuchekacheka kwa jinsi anavyofanya masihara na maisha ya watanzania. Kwa kweli maisha yanazidi kuwa magumu sana na kila kukicha ni afadhali ya jana, sukari...
Sikukuu ya Mapinduzi huja na kupita kila mwaka tangu yalipofanyika mwaka 1964. Jambo moja huwa nalishangaa kila mwaka. Gwaride huandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kukaguliwa na...
Raisa Jakaya Kikwete
RAIS KIKWETE AKUMBUSHWA AHADI YAKE YA
MKOA WA NJOMBE KUANZA KABLA YA JANUARI 2012
WANANCHI na viongozi wa mkoa mpya wa Njombe wamehoji sababu ya Rais Jakaya kikwete...
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea
Kama ana nyaraka hizo...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la umeme la Kenya KenGen ni kwamba bei za umeme nchini humo zitaashuka kutokana na kuwa na maji ya kutosha. Je inakuwaje hali ni tofauti Tanzania...
Wenzetu Nigeria wameandama baada ya kuona maisha yatapanda baada ya seikali yao kuondoa ruzuku ya mafuta. Sisi bei ya umeme inapanda kesho kwa aslimia 40+, hatujaonyasha reaction yoyote...
Msichana wa miaka 13 afanyishwa ukahaba
Picha ya mmoja wa anaosadikiwa ni changudoa akiwa mawindoni
Sunday, January 08, 2012 11:52 PM
Habari kutoka Majengo Tanesco, mjini Sumbawanga zimeripoti...
As a Tanzanian pilot, I am writing this letter with great regret and great frustration. I feel it is time that some of these safety issues are made public by any means available. Perhaps somebody...
Airtel kama mnaipenda kampuni yenu bora mkirudishe kitengo chenu cha customer care mikononi mwenu,hao ndugu zenu kampuni ya SPANCO mlowapa kitengo cha customer care kazi inawashinda,kwanza...
Nchi ya kufikirika,Tanzania.
Tuliambiwa kuwa kupanda kwa gharama za maisha kunatokana na kuporomoka kwa uchumi ulaya na marekani.Na hivi karibuni Iran,mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani ,marekani...
Nipo hapa karibu na bugurun kwenye folen mandela road. Msafara wa magari ya FFU Kama 6 wakiwa full loaded na magar ya washa washa 2, yanaelekea njia ya ubungo. Wapi kimenuka? Maana wapo kishar zaid.
naombeni msaada kama **** kuna mtu humu ndani anayejua nini kinaendelea kwa sababu nina kiwanja karibu na kanisa la roma na tulisimamishwa tusiendelee na ujenzi miaka mitatu iliyopita mpaka...
Nalazimika kusema hivyo kwa kuwa Watanzania tumekuwa watu wa kulalamika na kusahau na siku zinasonga mbele. Mtanzania ni mtu ambaye anaamini kila mtu ataubeba mzigo wake peke yake. Ndiyo maana...
soma hapa
HOME SHOPPING CENTRE walivyowaweka Mfukoni TRA - Wazalendo Forums
halafu tazama yaliyotokea jana
HOME SHOPPING CENTRE YAIPIGA JEKI MABWEPANDE.
Ina maana ile kesi yao na TRA...
Wakaazi wa Singida tulitoa tuhuma nzito dhidi ya Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Ndugu Lazaro Nyalandu. Kuwa Nyalandu aliwachukua wadogo zetu, watoto wetu kuwapeleka Arusha kukutana na...