Ndesamburo ataka mikoa mingine kufika Moshi kujifunza kuishi bila udini wala ukabila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndesamburo ataka mikoa mingine kufika Moshi kujifunza kuishi bila udini wala ukabila

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjukuu wa bibi Pili., Jan 14, 2012.

 1. Mjukuu wa bibi Pili.

  Mjukuu wa bibi Pili. Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatujamuona mbunge wetu kwa jamii ya waislam tangu achaguliwe.mwenyekiti bakwata wilaya ya rombo hashim idd amweleza ndesamburo
   
 2. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Rombo sehemu gani mkuu?sie tupo huku mbona hatujasikia?juzi juzi hapa alikua anazungumza na wanachi wa kata ya Kelamfua/mokala kule juu!nyie waislamu mlitaka mkutane naye wapi?
   
 3. Mjukuu wa bibi Pili.

  Mjukuu wa bibi Pili. Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viongozi wa dini ya kiislam wamweleza ndesamburo kero zao
   
 4. Mjukuu wa bibi Pili.

  Mjukuu wa bibi Pili. Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njooni moshi mjifunze tunavyoishi wakristo na waislam-ndesamburo
   
 5. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili ni jambo jema sana kwa tanzania ya Leo
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  kina nani sasa waje?
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Rombo waislam ni asilimia 1 na wakristo 99
   
 8. a

  adobe JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Ustaarabu hauna nafasi ya kubaguana.maendeleo hayana nafasi ya kuchimbana.kule kilmanjaro hakuna vijiwe vya kucheza bao kunakoanzisha majungu.watu wako bize kinoma
   
 9. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hebu kuwa specific....rombo ipi hyo? Ndio ni haki yao kukutana na mbunge wao bt ni waislam wa rombo ip mpendwa??
   
 10. m

  matawi JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hadis za majungu hizi. Sio lazima uandike jf kama huna issu soma za wenzako
   
 11. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  iyo sensa ya mwaka gani?
   
 12. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kwani wameanza kulalamika leo? si kawaida yao tu kulalamika hata jua likiwaka wanasingizia ni kwa kuwa ni waislam
   
 13. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kwenda moshi,nenda TRA utajua tu!
   
 14. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kwenye kahawa.
   
 15. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  hongera great sinker!!
   
 16. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  itakuwa tarakea labda na Useri kidogo,kungine si unajua hali halisi mangi wangu
   
 17. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  asante mpendwa kwa jibu lako zuri....
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,551
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Watu huwa mna confuse Moshi na Kilimanjaro, wengi wenu munaizungumzia Moshi kama mkoa, Mji wa Moshi ni makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro.
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wanamtaka wanywe nae kahawa na kucheza nae bao. Ni haki yao!
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  moshi,rombo,hai,moshi v,siha,mwanga na same hizo ni wilaya za mkoa wa kilimanjaro mtu anatoka rombo anasema katoka moshi,ukitoka km 10 kuelekea arusha tayari upo wilaya ya hai.
  nimeliweka hili sawa ili watu waache kutchanganya kama wana maana ya mkoa ni kilimanjaro na si moshi.
  wengine wanatoka same wanasema moshi.

  sio wachaga wote wanatoka moshi ila wote wanatoka kilimanjaro.
   
Loading...