Airtel customer care yenu inawaulia kampuni

ZALEOLEO

Senior Member
Oct 11, 2011
116
18
Airtel kama mnaipenda kampuni yenu bora mkirudishe kitengo chenu cha customer care mikononi mwenu,hao ndugu zenu kampuni ya SPANCO mlowapa kitengo cha customer care kazi inawashinda,kwanza inawalipa wafanyakazi mishahara ya kitoto,hivi kweli maisha ya sasa unaweza kumpa mtu mshahara wa sh 150,000? ikikatwa kodi inabaki 130,000! rate ya watu kuacha kazi iko juu na nyny chini ya hao SPANCO mnaajiri tu,floor imejaa watu mpk AC zimekufa sasa yanatumika mafeni,hv jengo kubwa kama lile unaweza kutumia feni kweli? nafasi zenyewe wanapeana kwa kujuana,wafanyakazi wanaongozwa na watu wasiojitambua hata kidogo,kiongozi hajui majukumu yake,mtu atakayewaita ni vibaraka wa wa wahidi wala sitashangaa! huduma zinazotolewa ni mbovu kupita maelezo na wala sio kosa la wahudumu sababu ni kwamba hao SPANCO wanataka wingi wa takwimu za simu zilizopokelewa kwa siku na wala hawaangalii ubora wa huduma! kampuni inajifia kifo kisicho na kilio!
 
ivi post kama ii nayo inafaa kuwepo jukwaa la siasa kweli.......
au ndo ujumbe unafka kwa urahs
we unadhani siasa ni kuandika kuhusu nape na dk slaa? kila linalogusa maisha ya mtanzania ni siasa,jana wamepandisha umeme na kuna mtu anafanya kazi AIRTEL analipwa sh 150,000 huoni kuna uhusiano,au siasa ina maana gani kwako?
 
ndug,shillingi 150,000/= haikatwi kodi....
hapo airtel chini ya kampuni yao ya kindugu wanakata kodi,mfanyakazi anapata 130,000 halafu ni waajiriwa temporary,hivi tempo anakatwa kodi?
 
Wale ma-supervisor wenu ndio wanawauawa kwa kuwashauri Wahindi kuwa ninyi hamna tabu ya maisha ! Mnaweza kuishi kwa 150, kwa mwezi tu !
 
Hivi yule ccr airtel alifia wapi? SPANCO ni kampuni ya Matapeli wana mpango wa kuhama hapo airtel House kutafuta eneo jingine very cheap... kama tiGO wamehamia jirani na Nyumbani Lounge (TRANIC PLAZA) mnategemea nn???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom