Nyaraka za Dr Slaa si lolote si chochote - Spika

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea

images

Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:
 
Huyu mseja anateswa na vugu vugu la nafasi ya mgombea urais linalofukuta chini chini huko chadema! kuna watu wanataka kumpima ubavu akiwemo mbowe nasikia ndio maana sasa katoka ofisini yuko mbeya kujipanga..
 
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea

Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:
jifunze kuandika kwanza ndo uje hapa..hasizitoe ndo nini?ndo maana mnarudishiwa mtihani wa form 2
 
Mambo ya ujira wa mwia yamemshinda anadandia mengine.kweli kufa lazima urushe rushe miguu.
 
jifunze kuandika kwanza ndo uje hapa..hasizitoe ndo nini?ndo maana mnarudishiwa mtihani wa form 2

Hata wewe jifunze kuandika, kabla ujakosoa jiangalie wewe kwanza..

Ndo nini? Ndo maana? Huu ni upupu wa kiswahili
 
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea

images

Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:
Maneno kama hayo yalitamkwa na Spika Sita lakini cha ajabu baadae nyaraka hizo hizo za Slaa eti naye akaanza kujipambanua hadi leo kuwa yeye ni mpinga ufisadi. Wewe ambae hata kuandika kuna kupa shida unadharau hizo nyaraka ila ukae ukijua hao unaojikomba kwao sasa hivi matumbo moto kwa kauli hiyo ya Slaa
 
Spika alikuwa anatumia nyaraka zake sio za slaa

Slaa ni mtapatapaji
 
Mwambien watz 2shamchoka hv anafikir cc wote wa2 wakanisan apeleke upupu wake huko,hv mbona haend msoga kwa mzee wa magagon
 
Shule nyingi wiki hii zafunguliwa: hatimae haya yote yatakwisha, anyway tulienjoy nanyi kipindi chote hiki cha holidays
 
Je hizo nyaraka zina msaada gani kwa taifa?

Huwezi kujua faida yake kwa sababu wewe umejikinga kwa kuvaa u-CCM ambao umekupofusha usione kitu. Nyaraka za EPA mlizikataa wakati anatoa Dr. Slaa, lakini baadaye watuhumiwa wa EPA mkawaambia kuwa warudishe fedha na mwishoni mkaziiba tena. Dr. Slaa amesababisha wezi wakakamatwa, wananchi tukadhani fedha zetu zimerudi kumbe wakajichukua tena.

Kwa hiyo wewe faida unayoitaka ni kama ipi?
 
dr slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta pa kutokea
images
kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe? Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani? :a s embarassed: Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:
dr. Slaa ni mwamamume wa shoka akitoa hoja lazima iwe na mashiko
 
Back
Top Bottom