Nina shida binafsi na Lowassa

Nina shida binafsi na Lowassa

gambachovu

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
1,854
Reaction score
293
Mimi nina shida binafsi na ENL.Kama kuna aliye na access na secretary wake, au kama kuna extremely close companions wake, mniPM .Ni masuala mema tu.
 
mwaga hapa JFzitamfikia tu ..labda kama ni mambo ya siri
 
kwa kuwa id yako ni gamba chovu na sisi tunakupa access ya EL kigamba chovu!
 
Mimi nina shida binafsi na ENL.Kama kuna aliye na access na secretary wake, au kama kuna extremely close companions wake, mniPM .Ni masuala mema tu.
Wewe si ni mchungaji wa kanisa fulani harafu una harambee ipo cku mtahukumiwa hapahapa duniani na huyo fisadi.
 
Daily Lowassa, lowassa...........yaani hadi inakera, you guys how much r u paid 4 this bollocks? We need a break from this gutter and mudslinging politikz!
 
Mwenye kujua namna rahisi kabisa ya kuwasiliana naye ani PM. Hata kama kupitia PS wake.
 
Muulize samwel sitta atakupa namba yake,ukimkosa mcheck nape au chiligat watkupa email yake
 
Wewe si ni mchungaji wa kanisa fulani harafu una harambee ipo cku mtahukumiwa hapahapa duniani na huyo fisadi.

mi si mchunga kondoo wa Bwana hata kidogo,hata hivyo sijui hukumu itakujaje wakati mhusika ndiye aliyeweka foundation stone labda na kuna jina lake. Umenielewa,labda awe anajihukumu pia.. Sasa sijui kwa faida gani
 
Back
Top Bottom