Msururu wa FFU wapo full loaded na magar ya washawasha wap kumenuka?

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Nipo hapa karibu na bugurun kwenye folen mandela road. Msafara wa magari ya FFU Kama 6 wakiwa full loaded na magar ya washa washa 2, yanaelekea njia ya ubungo. Wapi kimenuka? Maana wapo kishar zaid.
 
Bila shaka itakuwa chuo washakinukisha wanaenda kuwatenda.
Kikubwa wanaenda kuwashika shika madada zetu viuno,makalio na maziwa huko chuo wanaume watapewa haki yao wao marungu,mabom,maji ya kuwasha na ikiwezekana hata risasi za moto ndiyo itakuwa hakiyao kutoka kwa hawa NDIYO AFANDE.
 
Nipo hapa karibu na bugurun kwenye folen mandela road. Msafara wa magari ya FFU Kama 6 wakiwa full loaded na magar ya washa washa 2, yanaelekea njia ya ubungo. Wapi kimenuka? Maana wapo kishar zaid.

nahsi itakua ni UDSM leo kuna mgomo pale
 
Duu! Bas udsm hari tete, maana hawa jamaa wanavyoonekan wana usongo, cju wameamshwa kwa maji ya barid
 
Daaa acheni najuta kuikosa ambush ya leo mana ningebonyeza chuchu huko kama sina akili nzuri.
 
Vijana badala ya kusoma wanataka kushindana na serikali ngoja wakachezee kichapo kwanza!
 
Hii inanikumbusha 2006 wakati wa mikopo ya 60% alafu 40% unalipa mwenyewe hakika tulichapika.ndiyo maana mpaka leo si ipendi CCM mpaka kifo changu sitakaa ni ipende
 
alaaaa ujue malipo ni hapahapa
mungu siku hizi hana nafasi ya kusubiri
mkajazane motoni atakuchomea hapahapa


hivi kama ni mkeo anadhalilishwa hivyo ungefrahi?
 
Back
Top Bottom