Tunaacha gharama za umeme zinapanda hivi hivi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaacha gharama za umeme zinapanda hivi hivi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kasinge, Jan 14, 2012.

 1. k

  kasinge JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Wenzetu Nigeria wameandama baada ya kuona maisha yatapanda baada ya seikali yao kuondoa ruzuku ya mafuta. Sisi bei ya umeme inapanda kesho kwa aslimia 40+, hatujaonyasha reaction yoyote, tumekubali maisha magumu. Maji yatapanda, chakula kitapanda, aghalabu kila kitu kitapanda mradi tu tunategemea sana umeme. Tumekubali kilaiiiiiiini kulipa deni la Dowans.
  Jamani wanaharakati, hebu tuingie hata barabarani tuonyeshe hasira zetu, tusiwaache wakafanya wanavoojisikia. Kama ni kupinga tulipinga kwa maneno wamekataa. Sasa tuingie japo barabarani. Vyama vya wafanyakazi kama Nigeria walivofanya tupeni njia, sie tutafata. RIP Regia Mtama..
   
Loading...