Kwanini bei za umeme zinapanda Tanzannia wakati Kenya zinashuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini bei za umeme zinapanda Tanzannia wakati Kenya zinashuka?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Jan 14, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la umeme la Kenya KenGen ni kwamba bei za umeme nchini humo zitaashuka kutokana na kuwa na maji ya kutosha. Je inakuwaje hali ni tofauti Tanzania ambayo ina vyanzo vingi kuliko Kenya?
  Kwa uhakika zaidi GONGA HAPA.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nyie kwanza mna maji ya kuwatosha.....
   
 3. b

  buswe Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tz tunawalipa dowans, aggeco, iptl nk. kwa hiyo operation cost za tanesco zinakuwa juu. Gharama hizo kenya wanazo? gharama zilizoongezeka zilipwe na serikali kwasababu ndiyo imesababisha yote hayo.
   
 4. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii ni awamu ya tatu wanapandisha bei bila kuwa na mabadiriko yoyote katika kutoa huduma kwa wanachi. Hivi hawana njia nyingine mbadala zaidi ya kuwaongezea mzigo wananchi!
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kwani Kenya ni Tanzania ?
   
 6. MissyNana

  MissyNana Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka wafaidike wao kwanza; haiwezekani umeme wenyewe haupatikani/haupo kabisa halafu bado beiinapanda. Hivi sijui wanafikiria nini, sijawahi kuona viongoziambao wanapenda kuona wananchi wao wanateseka. Kwanihayo ni mateso...
   
 7. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Maisha bora kwa kila Mtanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,134
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Bei ya unit hamsini za mwanzo Kenya ni ksh 2 sawa na Tsh 36 tu. Siku zote tunatukana Kenya oh manyangau,oh man eat man society kumbe,manyangau tunao hapa hapa.
   
 9. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  duu. yaan zamani ka buku ten napata unit 52 na vi points, sasa hivi ntapata kama 36 points du (tofauti almost 17pts) ndo zinalipa dowans? ama? nijuzeni jamani....! ChiChieMu oyeeeeeeeeeeeeeee.....!!!
   
 10. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 712
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Usisahau uganda nako imepanda siku moja kwabla ya tz
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  nchi hii m*t*ko sana,watulivu kama twiga
   
 12. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  jiulize kwa nini wengine wanatibiwa muhimbili na wengine wanafia APPOLO
  Ukipata jibu oanisha na swali
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hii ndio Tanzania na CCM ndio chama tawala.
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 180
  Alafu hawajui ilo ongezeko lina Chain impact kwenye bidhaa ultimately kwenye maisha ie cost of living itapanda.
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,561
  Likes Received: 14,970
  Trophy Points: 280
  nchi ya vilaza
   
 16. Z

  Zlatanmasoud Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesahau kuwa Tanzania ni best LOOOOOOOOOOOOOOOOSER?
   
 17. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kenya ina serikali. Tanzania ina mibaba zero brain full kujipendekeza serikalini
   
Loading...