Raisi JK atinga Mabwepande...LOL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi JK atinga Mabwepande...LOL

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Jan 13, 2012.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Yaani huyu jamaa hana kazi kabisaa amekwenda Mabwepande kazi ambayo ni ya Mkuu wa wilaya... Dr.tunaye...
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kibaya zaidi ni kuwa katika maongezi yake na waathirika wa mafuriko anacheeka hadi jino la mwisho...sijui wapambe wake hawamshitui?
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  hujui kwamba huwa hawezi kutulia sehemu moja? kazi zake zimemshinda anaingilia za wengine
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  hata akiambiwa hasikii yani ana nyota ya ki*** so kucheka ni hulka yake hata msibani huwa anacheka
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Yaaani Nimesitushwa sana bora hata angemtuma TIBAIJUKA... Aaaaaaaghhhhh NAPIGA MBIZIIIII...
   
 6. p

  pilu JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikulu kuna stress nyingi jaman so hapakaliki!
   
 7. Secretary General

  Secretary General Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kazi kweli kweli.................
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  nasikia kapokelewa na mabango.
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,305
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  kasema wapangaji nao wapewe viwanja, ahadi zake 92 katimiza ngapi?
   
 10. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, mimi sioni kama amefanya jambo baya hata, akitoka nje ya nchi tunasema anatumia hela akiwa ndani ya nchii na hasa anatembelea wananchi wake wenye matatizo nayo iwe nongwa? hivi ni vibaya kufatilia kujionea jinsi wasaidizi wako wanavyokusaidia kazi? mnajua alichokikuta huko ambacho wasaidizi wake walikipuuza na sasa amewaagiza wakitekeleze? na je asingekwenda wananchi wangemwambia nani?

  siku zote sipo upande wake ila kwa hili sidhani kama kuna baya amefanya, tulipaswa kumpongeza kwa kwenda japo kuwaona na kujua kinachowasibu hawa wananchi wa huko.... kwa kifupi alichoenda kufanya ni hiki chini na aliyoyaagiza ni hayo mjionee na jinsi watendaji wake walivyofanya kabla hajaenda:


   
 11. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,355
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Maoni mengine loooh, utadhani yametokea kwenye 'masaburi'
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Yapi??? Awajengee nyumba ndio akakague sio anaenda hovyo hovyoo... Yani im fed up with this...
   
Loading...