Yeyote anayeishi Tabata kinyerezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yeyote anayeishi Tabata kinyerezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Delegate, Jan 14, 2012.

 1. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  naombeni msaada kama **** kuna mtu humu ndani anayejua nini kinaendelea kwa sababu nina kiwanja karibu na kanisa la roma na tulisimamishwa tusiendelee na ujenzi miaka mitatu iliyopita mpaka vipimwe'kwa kweli wametuchelewesha sana na nasikia vibaya sana ninapotembelea uwanja wangu'je watu wanaendelea kujenga au
  Wamesimama?naombeni msaada
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu pale tangu walipoleta migambo miaka mitatu iliyopita tunaona watu bado wanaendelea na ujenzi'kuna tetesi eti watu wataitwa kwenda kulipa laki tano za title deed'sijui nini kinaendelea
  Lakini ujenzi unaendelea kama kawaida
   
Loading...