Mara kwa mara tumekuwa tukisikia kuwa serikali imepata hasara ya Mabilioni ya Shilingi kwa kulipa mishahara kwa watumishi ambao aidha wameacha kazi,wamestaafu au wamefariki.Swali la kujiuliza ni...
Pinda: Ni vigumu kupata mbadala wa Regia
Makinda: Alikuwa mtu wa kuthubutu
Mbowe: Alikuwa tunda la Chadema
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akitoa heshima...
Kikundi cha mazungumzo cha Umoja wa Makanisa Tanzania kinachoundwa na Baraza la Maskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Jumuiya ya Kikiristo Tanzania (CCT), kimeishauri Serikali kutotia saini...
Maoni ya katuni
Katika ukurasa wa kwanza wa gazeti hili leo kuna habari kuhusu posho za wabunge, lakini ndani yake Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akielezea kwa hisia kali tabia ya uvivu ya...
Wana JF,nipo safarini Shinyanga mjini. Kuna tangazo langu,lilitoka kwenye gazeti la Uhuru la jana 17/1/2012.Leo,nimelitafuta mji mzima gazeti hilo,nimelikosa. Naambiwa kuna gari la Polisi...
A Tanzanian tour guide, Athumani Juma, stands with Mount Kilimanjaro's Kibo crater in the distance. | Alan Boswell/MCT
By Alan Boswell | McClatchy Newspapers
KILIMANJARO, Tanzania One of Mount...
Naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa dkt Rose Migiro! Nini tafsiri ya kusema kuwa ni utani ya msemo wa "Mchimba shimo huingia mwenyewe"? Hvo unavyosema ndivyo viongoz wetu wanasema, tena wao...
Ni filamu iliyobeba UHALISIA Kabisaaaa.Kwa wasioijua itafuteni muiangalie Kuna FUNZO kubwa sana ndani yake.Zaid ya watu laki 8 walipoteza maisha ndani ya siku 100.Ilikuwa ukionekana na pua ndefu...
Wakuu hali ikoje mpaka sasa kufuatia mgomo uliotangazwa na chama cha madereva wa malori Tanzania (Chamamata)? Kwa mujibu wa mwenyekiti wa chama hicho Bwana Rocket Matogolo based in Tunduma...
Kama alivyokuwa Mh. Regia ndio vijana wote wanapashwa kuishi maisha ya kila siku, nashawishi uanzishwe mkakati ambao vijana wengi watafundishwa jinsi ya kulitumikia taifa. Marehemu alikuwa na...
Habari za leo na mwaka mpya Ndugu zangu wa jf, natumaini wote ni wazima wa Afya na mnaendelea na ujenzi wa Taifa lenu lililopoteza dira yake. Awali ya yote kabla sijaenda kwenye mada iliyonifanya...
Tuesday, 17 January 2012 21:27
Askari wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza la aliyekuwa mbunge wa viti maalum (Chadema), Regia Mtema, wakati wa salamu na rambirambi za kumuaga rasmi...
Habari wanajamvi,Jaman hii ni thread yangu ya kwanza kuianzisha ndani ya JF.kwa muda nimekuwa najiuliza ulazima uliokuwepo kwa Tanzania kusaidia ukombozi barani Afrika na juhudi hizo zimetugarimu...
Hivi majuzi rais Kikwete ametangaza kujenga bomba kubwa la gesi kutoka Mtwara hadi Dar lengo likiwa kupunguza makali ya mgao wa umeme nchini. Kwa wale wasioijua Mtwara vizuri, ni asilimia 10 tu ya...
Najuwa wengi wameguswa na msiba huu Mungu aelaze mahali
pema Roho ya Regia Mtema.
Lakini yote kwa yote siasa mchezo mbaya sana hapa maadui wake
wasiomtakia Dr Slaa mafanikio ndo wanapata upenyo...
Nawasilisha hii ni kero iliyokomaa pale CRDB Mlimani City, Kumbe hata uwahi kiasi gani huwezi kupata namba za kwanza kwanza ili kukaa kwenye foleni ya kupata huduma ya...
Jamani wakuu kuna meseji nimeipokea toka Airtel inasema hivi,
"Dear Customer, Jirushe Services will be stopped in a few days to come and will be replaced by a New and More exciting service...
Naomba mchango yakinifu....nilishuhudia msafara wa rais hivi karibuni....huwa unatanguliwa na pikipiki...halafu gari ya polisi kama mbili hivi ambazo zinapeana distance kubwa.....baada ya hapo...
Wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu ili kutafuta wana Jimbo la Buyungu. Lengo ni kutafutana kimawazo na ushaur jinsi gan 2fanye ili kukomboa lile jimbo letu la Buyungu pamoja na Wilaya ya...