Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Viongozi wetu wa dini zote wa islamu na wakiristo.huu utaratibu wa kuleta wana siasa kwenye makanisa na misikiti,kwa kipindi hichi kuna makundi ya wana siasa wanaotaka uraisi,ubunge na udiwani ata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku zinavyo zidi kwenda ndo nyimbo zinapotelea mbali, mfano, ni akina nani utawakuta wanaimba... Tanzania Tanzania, nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya wanaililia sana nimeona ndege...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni vizuri tukaiga mifano mizuri hasa ktk mambo muhimu kama yale yanayohusu kupoteza maisha ya watu. Meli ilyozama Nungwi mpaka leo hakuna mtu yoyote aliyekamatwa, kweli kwa hali hii tutafika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya ni madai ambayo yamekuwa yakitolewa na watu. Je yana ukweli
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani ile ahadi ya bwana HU kuwa atarudi na ule mwendelezo wa kumuonya JK juu ya mtandao fulani hatari ndani ya chama vipi mbona kimya? Alisema kuwa angerudi na 3rd part ya hiyo story lakini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kunatetesi kwamba waandishi wa habari wanajua siri nyingi za nchi inavyoibiwa lakini hawasemi kwa vile wanapewa pesa na wa kubwa, kwa maana kwamba wanatumika sana kuficha maovu. je tetesi hizi ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati tupo bado tuna majonzi yakuondokewa na mpiganaji mwenzetu Ndg. Regia Mtema kutokana na ajali ya gari na mazingira mazima ya chanzo cha ajali yake. Ilivyo na inavyo julikana ni kuwa viongozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani Leo nimekuwa nikiwaza habari zote ninazozisikia kuhusiana na CUF, Vita kuu ni watu wa asili moja na nina Imani majirani HR, na SSH. Mgogoro wa HR ni mabadiliko na uongozi safi, Tatizo za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa namna mambo yanavyoenda juu ya ushughulikiaji wa mgogoro baina ya wizara ya afya na madaktari ni wazi anayeumia ni mwananchi Wa kawaida ambaye hana haki wala uwezo wa kwenda kwa matibabu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF mambo vipi?,natumai mu wazima. Nimeshindwa kuelewa wanajf wenzangu huu mlolongo wa madudu unaofanywa na baadhi ya viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza maamuzi yaliyo sahihi kutokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkulu karibu arusha siku ya juma tatu kwenye mazishi ya jeremiah sumari. Kama uko busy unaweza potezea kwani ni juzi tu umetoka kumzika regia mtema.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NDUGU WANAHABARI Awali ya yote hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mola wa viumbewote. Pili tuna kushukuruni kwa kuitikia wito wetu licha ya kuwa namajukumu...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Naomba mnijuze wana JF kwani mbunge hutambulikaje maana ninatatanishwa sana na suala la wanaedai mbunge wa CCM (Sumari) aliefariki akiwa bado hajaapishwa,ilikuwaje na itakuwaje? 1.Je alikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku hizi ***** ***** za udini zimepamba sana moto mitaani na, hata katika mitandao ya kijamii mfano hapa JF. Hebu tujiulize swali moja dogo. Tukiweka udini mbele na kuacha undugu na ujirani kando...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa vile pacha wa marehemu alikuwa akimsaidia marehemu katika kazi nyingi za kibunge na kisiasa,na tumeona marehemu alikuwa na mvuto mkubwa kwenye maisha ya kijamii na kisiasa- pacha wa marehemu...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Heshima mbele kwanza! Naomba kutoa pole kwa msiba ulio2pata sie wapganaj hasa vijana kwa kuondokewa na Jembe letu la majira yote, dada yetu mpendwa, Regia Mtema, let her R.I.P Ndg wana JF...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Ktk habari ITV ya saa 2 wameripoti kuwa kamati iliyoundwa kuchunguza ajali ya mv spice imeshahuri wenye meli na viongozi wa serikali waliohusika wakamatwe, imeripotiwa kuna baadhi wamekwisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Elimu najua Taarifa hii utaipata na ntaomba nipate majibu,Wadau kuna watu wenye digrii na diploma za fani nyingine Waliomba ajira za Ualimu Na wao serikali itawaajiri au hawata ajiriwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mjadala unaendelea live na hoja ni kama inavyosomeka hapo juu..
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Malecela ameungana na watz wengi wanaolaani uandishi mbovu na wenye hila wa gazeti la Jambo leo.Amesikitishwa na kitendo cha gazeti hilo chochezi cha kuandika kuwa Nape alitaka yeye Malecela na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…