Mamboz wana jf mko poa??sasa jamani mimi nimezaliwa tarehe 30 januari,tangia nimepata akili mpaka leo ni zaidi ya miaka 25 nimekutana na mtu mmoja tu aliezaliwa tarehe kama yangu,kwahiyo wajameni...
Nichukue nafasi hii kumpongeza Raisi Mwai KIBAKA na wakenya wote kwa ujumla kwa hatua waliochukua kumuwajibisha Jaji Nancy Baraza kwa kile alichokifanya, kumbukeni ni takribani miaka 2 iliyopita...
Wana JF
Kuna mtu ambaye kwenye archive yake ana makala walizowahi kuandika akina Salva Rweyemamu na Prince Mahinja Bagenda katika gazeti la Rai (ya Ulimwengu) kabla hawajarudi kwao CCM?
Napenda...
Nimeka nikawaza nakuwazuwa nikaona taifa langu tanzania taifa ninalo lipenda kwa moyo wangu wote linaenda ktk giza just b'coz ya viongozi vipofu na fikira potofu.
Hakuna taifa lolote duniani...
Tumekuwa tukionyesha hasira zetu sana pale tunapopata taarifa ya kiongozi wa nchi kupewa au kutoa rushwa kwa namna moja au nyingine
Ila nikajaribu kuangalia jinsi system nzima ya watanzania...
Serikali ya Kagame imesema kuwa inatarajia kuirudishia DRC madini yapatayo tani 82 yaliyopatikana magaharibi mwa nchi hiyo amabayo inasadikiwa kuwa yaliingizwa nchini humo kwa njia ya magendo...
wana JF Baada ya waziri mkuu Mh Mizengo Kayanda Peter Pinda kuidhinisha posho nono kwa wabunge kutoka 70,000/- hadi 200,000/- kwa siku
Sasa natangaza Rasmi kugombea ubunge ktk jimbo lolote lile...
''Hatuna matatizo na matajiri kadhalika na utajiri wao lakini hatutakubali matajiri watumie utajiri wao kuvuruga utendaji kazi wa serikali yetu" - JK NYERERE 1995
Nawatakia kila la...
Baada ya waziri wa makazi,ardhi na nyumba prof.Anna Tibaijuka kuwasilisha ombi la Tanzania kuongezewa eneo la mita kadhaa za mraba baharini,SMZ imekuja juu.Serikali ya mapinduzi ya zanzibar imedai...
Serikali ya Tanzania imeshindwa kuthibitisha kuwa haikuingiza masanduku ya kupigia kura mwaka juzi yakiwa na kura zilizo kwisha kuwekewa vema kwa mgombea wa CCM Jakaya Kikwete hali hiyo imepelekea...
Nimekuwa nafatilia sana malumbano ya wenzetu wa ZNZ toka nikiwa shule ya msingi na sasa nazeeka, mwanzo ilikaa kisiasa zaidi kwa hio nilikuwa sitilii maanani ila sikupenda sana walipokuwa...
Karibu kila unapofanyika mkutano wa uchumi wa kimataifa, rais Jakaya Kikwete huwa hakosi. Bahati mbaya, huwa haendi pekee. Mwaka huu ameondoka na watu 14. Ajabu pamoja na kuhudhuria mikutano...
Ndugu JF members, naona serikali imeamua kukaba kila kona. Na sasa, imeanza kufuatilia wanufaika wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ambao bado hawajaanza kulipa madeni yao mpaka hivi leo. So...
25/01/2012
*
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki amemsimamisha kazi Naibu Jaji mkuu bi. Nancy*Baraza na*kuunda jopo ambalo litaufanyia uchunguzi mwenendo wake kutokana na shutuma zinazomkabili...
Dk kadhaa zilizopita nimemsikia mtangazaji wa bbc charles hillary akitamka mechi ya zambia
na libya aipo sababu mvua imemwagika sana sana huko afcon
sasa naona matokeo ya libya na zambia hapa jf...
President Kibaki appoints retired CJ Agostino Ramadhani to chair panel to probe suspended deputy chief justice Nancy Baraza.
Source Capital FM Nairobi.
Msemo wa mbuzi hula sawa na urefu wa kamba yake unazidi kudhihiri ktk wilaya maskini na yenye utajiri ya tunduru baada ya maofisa ktk idara mbalimbali wilayani humu kutumia ofisi zao kujinufaisha...
Naipenda sana hii redio nisichopenda ni mambo yenu ya kikanisa mnatuletea wachungaji kwenye pata pata wasio na upeo wa kuelewa mambo yanaendaje duniani harafu mnawapa coverage kubwa kwa nini? kwa...
WAUZAJI wakubwa wa dawa za kulevya nchini, wamekuja na mbinu mpya ya kuingiza biashara hiyo haramu nchini, Tanzania Daima Jumatano limebaini.
Katika mbinu hiyo, wafanyabiashara hao hujifanya...