Kuna umhimu wa kuunguza kodi zetu kwenda Davos au kutumia akili ya kawaida?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Karibu kila unapofanyika mkutano wa uchumi wa kimataifa, rais Jakaya Kikwete huwa hakosi. Bahati mbaya, huwa haendi pekee. Mwaka huu ameondoka na watu 14. Ajabu pamoja na kuhudhuria mikutano karibu yote ya Davos tangu aingie madarakani, sera zake za uchumi hazifanani na Davos! Kulikoni? Tatizo ni Davos au Kikwete? Hivi hata kuingia mikataba sahihi na halali badala ya ile ya kijambazi na haramu kunahtiaji kwenda Davos?
 
Kweli si kila mpayukaji hana akili na busara, mpayukaji huyu amepayuka mambo ya kufikiri kwa kina na kutafakari..Sio kila anyekwenda Davos anakwenda kutetea maslahi ya wenye nchi bali ya wala nchi.......
 
Back
Top Bottom