Charles hillary :mechi ya libya na zambia aipo..jf :libya 1 zambia 0.nani mkweli???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Dk kadhaa zilizopita nimemsikia mtangazaji wa bbc charles hillary akitamka mechi ya zambia
na libya aipo sababu mvua imemwagika sana sana huko afcon
sasa naona matokeo ya libya na zambia hapa jf libya inaongoza msaada kwenye tuta jamani
kumbukeni huyu hillary anaongea dunia nzima inamsikiliza haswa east africa sasa kama ni uongo
sijui ataomba msaaamaaha kesho...na aombe pitia jf
 
mechi inaendelea kama kawaida ila uwanja umejaa mafuriko!!mpira hauna ile ashki
 
Back
Top Bottom