Rwanda kuirejeshea DRC madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rwanda kuirejeshea DRC madini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Jan 26, 2012.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Serikali ya Kagame imesema kuwa inatarajia kuirudishia DRC madini yapatayo tani 82 yaliyopatikana magaharibi mwa nchi hiyo amabayo inasadikiwa kuwa yaliingizwa nchini humo kwa njia ya magendo. Source: gazeti mwananchi
   
Loading...