Ni nani aliye safi sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nani aliye safi sasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by manuu, Jan 26, 2012.

 1. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Tumekuwa tukionyesha hasira zetu sana pale tunapopata taarifa ya kiongozi wa nchi kupewa au kutoa rushwa kwa namna moja au nyingine

  Ila nikajaribu kuangalia jinsi system nzima ya watanzania ilivyochafuka kwa rushwa yaani ni kwa vile tu mimi na wewe tunayoyafanya hayawekwi bayana kwa watanzania walio wengi kuweza kuyafahamu.

  Kwa kuanzia kama kuna yeyote yule abaye hajawai kutoa au kupkea rushwa na awe wa kwanza knyoosha mkono juu na kusema kwa sauti "mimi sijawai kutoa wala kupokea rushwa".

  Na hii inamaanisha hujawai kumpa trafiki chochote tangu uanze pita barabarani na hiyo gari yako,
  Hujawai kumpa doctor au nesi hospital ili uweze kuudumia kwa haraka na kwa umakini,
  Yaani kama haujawai shiriki kutoa rushwa au kupokea rushwa naomba useme kweli.

  Na majibu tutakayo yapata yatatuonyesha jinsi gani system ya watanzania ilivyo mbaya siyo kuanzia juu kuja chini bali ni kuanzia chini kwenda juu.
   
Loading...