Kwenu wote mnaoutaka urais Tanzania 2015...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenu wote mnaoutaka urais Tanzania 2015......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by shellyneremmy, Jan 26, 2012.

 1. s

  shellyneremmy Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ''Hatuna matatizo na matajiri kadhalika na utajiri wao lakini hatutakubali matajiri watumie utajiri wao kuvuruga utendaji kazi wa serikali yetu" - JK NYERERE 1995

  Nawatakia kila la kheri................
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unaonaje kama huu uvundo wako ungeupeleka facebook? Nchi za wenzetu zilizoendelea kigezo mojawapo kwa mtu anayeutaka urais ni lazima awe tajiri. Wewe unataka mtu maskini!! Ndio maana rais wenu anahongwa mpaka suti! shame on you
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mbona ndicho yule aliyemkataa 1995 ndicho anachofanya?
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanini kila kitu uangalie wanachofanya wenzako badala ya kufanya unachoona kinakufaa wewe?
   
 5. zululima

  zululima Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  soma quote uielewe ww pro lowasa, mtuma thread hakuongelea kupinga nchi kuongozwa na tajiri ila utajiri wake usitumike kuvuruga utendaji wa serikali. be serious when you comment.
   
Loading...