Wapo Redio - Pata pata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapo Redio - Pata pata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Johnsecond, Jan 25, 2012.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naipenda sana hii redio nisichopenda ni mambo yenu ya kikanisa mnatuletea wachungaji kwenye pata pata wasio na upeo wa kuelewa mambo yanaendaje duniani harafu mnawapa coverage kubwa kwa nini? kwa mfano mmetuletea mtu wenu wa kanisani wiki iliyopita akihubiri eti kuwa katiba ni matakwa ya watu wachache tena ni wana siasa harafu akjawa anawadanganya wakristu eti kuwa yeye ni mwanaharakati, leo tena namsikia mwingine mmemleta anasema kuyumba kwa uchumi wananchi msiilaumu serikali eti kwa sababu ni nchi zote hata marekani. watu wa aina hii upeo wao mdogo, kwa jirani wakilala na njaa basi watoto wako hawana right ya kukwambia baba kwa nini sisi tunalala njaa? Serikali ilipaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuwezesha wananchi wake kujikwamua kimaisha na sio kulala tu.

  Nawashauri watu wa aina hii mimi wananifanya nisiipende redio hii, Ritta, Ambwene, Anthon n.k mmenisikia lakini?
   
 2. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu Hamia redio Imani.......
   
 3. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sasa unanitakia mabaya, wale ndo hamnazo. wapo mimi sina tatizo na watangazaji ila kuna habari du hazielimishi jamii
   
 4. K

  Kivia JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wamezoea kudanganya waumini huko makanisani. Wasituletee hizo kamba zao.
   
 5. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,915
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Njoo Radio uhuru upate habari za uhakika
   
 6. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Sikiliza jf fm masafa ya mtandaoni uko akuna kilaza mpendwa
   
Loading...