Kama unadaiwa na loans board angalia jina lako hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unadaiwa na loans board angalia jina lako hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by analysti, Jan 25, 2012.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 664
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Ndugu JF members, naona serikali imeamua kukaba kila kona. Na sasa, imeanza kufuatilia wanufaika wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ambao bado hawajaanza kulipa madeni yao mpaka hivi leo. So kama unataka kujua status yako, fuatilia linki hii, kisha fungua ktk chuo ulichosoma, basi utaweza kufahamu status yako. GONGA HAPA Loan Defaulters/Wadaiwa
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,896
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
  Jina langu nimeliona na wala sitalipa deni hilo kwani si deni kwangu bali ilikuwa ni haki yangu ya msingi kama walivyopata haki hiyo wale waliosoma tangu UDSM ianze. Pesa hiyo ilikuwa ni ya mlipa kodi, nami leo nalipa kodi, hivyo wanaosoma sasa hivi watumie kodi yangu na isiitwe mkopo kwao.

  Taongea zaidi na kutoa strong evidence tukikutana mahakamani.
   
 3. M

  Masuke JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,598
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hao jamaa kuna makosa wameyafanya, mimi mwenyewe nina zaidi ya miaka miwili toka nianze kulipa lakini cha ajabu nimeona jina langu na liko kwenye orodha ya watu ambao hawajaanza kulipa na kuna wengine wengi tu nawajua nao wameshaanza kulipa lakini cha ajabu majina yao yapo.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,696
  Likes Received: 2,784
  Trophy Points: 280
  Ajira ziko wapi ili walipe mikopo yao?
  Watalipa hao hao waliofanikiwa kupata hizo ajira,
  watoto wetu bado wanaranda na njia tu.
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wenyewe wanaziiba halafu wanadai nini?
   
 6. k

  kaeso JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii balaa ngoja nikawaone kwanza nijue wananidai kiasi gani...
   
 7. k

  kaeso JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi wanakata asilimia ngapi ya mshahara???
   
Loading...