Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

President Obama warned in his State of the Union address Tuesday that the nation's middle class is at risk because of growing economic inequality, and argued that the government must do more to...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Je hu ni uungwana?Wamekata kisa wanaidai HOSPITAL 2.6 MILIONI.JE VIFO VITAKAVYOTOKEA TANESCO HAWANA LA KUJIBU?KUNA WATU WALIKUWA KWENYE OXGEN MACHINE....KWELI JAMANI TZ IMEKWISHA source tbc 1
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Lile sakata la Madaktari na Serikali Limefikia Madaktari Kuamua Uamuzi Mgumu wa Kuamua Kugoma rasmi kuanzia Kesho hii ni kutokana na Mikutano waliyoianza toka jumatano ya wiki iliyopita ya...
2 Reactions
135 Replies
10K Views
Siku hizi sipiti sana JF kutokana na mchezo mchafu wa kuchomoa mada hasa zile zinazomhusu Jakaya Kikwete na watu wake. Leo nimepita na kukuta hili "sanga", kimbembe na hekaheka za kuongezwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Polisi wilayani kahama wameua majambazi wanne kati ya saba waliokuwa wanijiandaa kufanya uvamizi. Habari zilizopatikana hapa kahama zinasema polisi walipigiwa simu na raia wema na walipofika eneo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unapenda miziki ya BAKULUTU (lingala and french originalate),labda hujui wap utaipata,hujui nani kaimba, au wimbo unaitwaje ili uweze ku download.. Tiba ipo hapa..'Le grand devoyeyega'! Ni PM or...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
You Lazy (Intellectual) African Scum! Yafuatayo ni Mazungumzo ya Mzungu Walter Mtaalamu wa IMF miaka ya 1980s Nchini Zambia na Raia wa Zambia walipokutana ndani ya ndege safarini kwenda...
3 Reactions
44 Replies
12K Views
Nimekuwa nikishangaa kila mtu anayemkubali mr mamvi anasema jamaa ni mchapakazi na kafanya mambo makubwa!ni yapi hayo jamani mambo makubwa, city water na shule za kata?naomba kujuzwa!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KIKAO CHA DHARURA CHA MADAKTARI WOTE. Mbeya Referral Hospital,leo saa kumi na moja jioni,pale interns canteen,mkabala na interns block.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
ni jambo la Ajabu kuona nchi kubwa kama tanzania ambayo ina TV station zaidi ya 40, kushindwa kuonyesha Mashindano ya kombe la mataifa ya africa live!!!! tena nchi hii yenye shirika kubwa la...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mjadala mkali unaendelea kati ya Ikulu na CDM unadhihirisha wazi kuwa wingi wa wabunge wa CCM ndani ya Bunge la muungano ni mzigo na hasara kubwa sana kwa wananchi na Taifa zima la Tanzania...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni Mkuu wa Kituo cha Polisi, ndugu zake ni maofisa waandamizi serikalini Kaimu Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magomeni, jijini Dar es Salaam, Inspekta Msaidizi, Nicodemus Senge (43), amejimaliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1.Waalimu wote serikalini wapo chini ya Wizara ya Elimu. 2.Madaktari wote Serikalini wapo Wizara ya Afya na 3.Wahasibu wote serikali kuu wapo chini ya Wizara ya Fedha Na kada balimbali Serikali...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
wapendwa leo nimeshangazwa sana na wale wanaokatisha tiketi baada ya kuniambia inabidi nije na chenji ya sh 200. Nikamuuliza mhudu huyo swali Je ni nani anapaswa kuwa na chenji kati yangu mi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:- UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM,RAMBO,PLASTIC) BARABARANI. UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER MAANA NDANI YAKE KUNA...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Wana Jf nimetumia kichwa hicho hapo juu kufuatia masikitiko na maumivu anayoyapata msichana aliyepoteza wazazi wake na kuchukuliwa kukaa na shangazi yake anayemlazimisha kuolewa na mwanaume...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ukiulizwa Tanzania inajivunia ki2 gani [kitu kimoja tu] ambacho kimeleta manufaa kwa kwa maslahi ya wananchi wa Tanzania ambacho nchi inaweza kusimama na kusema 2najivunia ki2 fulan ...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Hali inaendelea kua ya wasiwasi ndani ya LIBYA mpya baada ya wanajesshi wanaomuunga mkono kiongozi alieuawa Ghadafi kupigana na wanajeshi wa baraza la mpito la NTC na kuwaua wanajeshi wanne wa NTC...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sikuwahi kuipita barabara hii hapo kabla kwa hiyo sijui hali yake ilivyokuwa kabla ya kutiwa lami miaka si mingi iliyopita na kuzinduliwa kwa mbwembwe zote za Ki-EAC. Najua ime(na)jengwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom