Serikali ya CCM yabwagwa na makada wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM yabwagwa na makada wa CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by yegella, Jan 25, 2012.

 1. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Serikali ya Tanzania imeshindwa kuthibitisha kuwa haikuingiza masanduku ya kupigia kura mwaka juzi yakiwa na kura zilizo kwisha kuwekewa vema kwa mgombea wa CCM Jakaya Kikwete hali hiyo imepelekea mahakama ya tunduma kuwaachia huru makanda wa CHADEMA waliofunguliwa mashitaka kuwa walitoa taarifa zauongo kuwa gari moja lilikuwa na masanduku hayo lakini baada ya kwenda kupekuliwa walikuta vipodozi..

  Source: Redio Free Africa
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,514
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Rip ccm!!
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,850
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  chaguzi nyingi za afrika si huru na wala si za haki..
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hasa Tanzania,mbona Zambia wamethubutu,wameweza na wanasonga mbele!
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Na ndio maana serikali haikuthubutu kumshtaki Dr. Slaa aliyeutangazia umma wa watanzania kwamba masnduku ya kura yameingizwa nchini kupitia border ya Tunduma.

  Na huu ni uthibitisho kwamba kura feki ziliingizwa nchini kuinusuru magamba na aibu ya raisi wao kufurushwa ikulu baada ya kipindi kimoja tu.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Safi sana wapiganaji.

  Mungu awabariki muendelee na mapambano!
   
 7. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,974
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  kisheria maana yake ni nini hapo? mshtakiwa alitangaza kukamata malori yenye kura zilizokwisha pigwa in favor ya JK....mshtaki akasema mshtakiwa muongo...mahakama ina-rule kwamba mshtakiwa hana kesi ya kujibu!! wanasheria naomba msaada wenu.
   
 8. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  You can fool all people at one time but you cant fool all the people at all time.
  Rest In Peace(RIP) CCM.
  We hate you
   
 9. M

  Maga JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 323
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Aliyekwenda mahakamani ndiye anayetakiwa kudhibitisha kuwa kilichosemwa hakikuwa cha kweli, kwahiyo kama serikali imeshindwa kudhibitisha ina maana hao jamaa walikuwa right! Tanzania nchi ya sarakasi kila kukicha
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  majizi sugu
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  CCM kwisha habari yake! huyo hakimu anaonekana ni mzalendo, anaipenda nchi yake.
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  sjui chaguzi zijazo watapitishia border ipi, maana zambia sasa hivi kuna jembe, kwa kagame hapafai, Raila ndiyo huyo anachukua nchi, labda kwa Kaguta
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Nasubiri akina Rejao, Mzee, Ritz, MS, FF Na magamba wengine waje wachangie maoni yao. Maana miongoni mwao walisema Dr Slaa aliudanganya umma kwa data zisizo za uhakika! Eti kuna wanaomdanganya kumuingiza mjini na yeye akaingia mkenge. Semeni na leo!

  Wenu katika kusubiri,
  Filipo.
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hawataweza kuthubutu kutia pua zao hapa, watakuwa wanasoma kwa mbaaali na kusepa.
   
 15. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii mijizi unafikiri haijui ukweli yalikwiba kwa njia nyingi sana. Hii ya magari kuingiza kura ni moja tu! Ile ya kupoteza ushahidi kwa kura kufutika haraka yameshindwa kubisha. Chama cha majizi ccm! chama cha majambazi ccm chama cha mafisadi ccm!!
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  2015 adui wetu atakuwa vyombo vya dola na TISS.
   
 17. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwanzo wa mwisho wa magamba ndio huu

  R.I.P. magambaz
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Sasa baada ya hapo, nini kitafuata?
   
 19. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo, ni kweli kuwa ccm waliiba kura, na Dr Slaa alikuwa sahihi. Aibu ya mwaka.
   
 20. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mpaho mpaho mpaho mpaho ccm , uende salama huko uendako kuzimuni
   
Loading...