Waliozaliwa january 30 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliozaliwa january 30

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by salito, Jan 25, 2012.

 1. salito

  salito JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Mamboz wana jf mko poa??sasa jamani mimi nimezaliwa tarehe 30 januari,tangia nimepata akili mpaka leo ni zaidi ya miaka 25 nimekutana na mtu mmoja tu aliezaliwa tarehe kama yangu,kwahiyo wajameni kama wapo hebu wanijuze,maana ninaokutana nao wengi tar 29 au 31,na pia nimetangaza mapema ili mnikumbuke kwa zawadi kem kem yakiwemo maua,kadi,kacholi,ubuyu m-pesa,tigo pesa na hata airtel money pia...
   
 2. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,489
  Likes Received: 4,502
  Trophy Points: 280
  WHAT IS YOUR SEX .please
   
 3. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,489
  Likes Received: 4,502
  Trophy Points: 280

  hapo kwenye red, hakuna nukta kati ya tigo na pesa? macho yangu hayaoni vizuri.

  Na hiyo ubuyu m-pesa ndo ipi tena ? au ni kampuni mpya ya simu?

  haya basi mi ntakutumia western union,
   
 4. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 5. salito

  salito JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  dah mdau ni typing error,siunajua tena tumekariri kwa kusikia tu maredioni na kuona ona matangazo..
   
 6. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dah mkuu mi mwenyewe nimezaliwa tarehe 30 january nilikuwa najiona ka nipo peke yangu..pamoja mungu atubariki
   
 7. salito

  salito JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Dah afadhali kumbe tupo tupo maana me nilijua labda nimezaliwa kimakosa tarehe hiyo..pamoja sana broo
   
 8. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hata mimi mama aliniambia nilizaliwa 30th Jan na nilimuamini. Tuko pamoja wadau.
   
 9. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  ndicho umekuja kujifunnza hapa? angalie kajoin lini?
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  Hongera zenu nyie wote mtakaozaliwa tarehe 30/01.
   
Loading...