Natangaza nia ya kuwa mbunge-baada ya WAZIRI MKUU kuidhinisha posho

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
wana JF Baada ya waziri mkuu Mh Mizengo Kayanda Peter Pinda kuidhinisha posho nono kwa wabunge kutoka 70,000/- hadi 200,000/- kwa siku

Sasa natangaza Rasmi kugombea ubunge ktk jimbo lolote lile nitakalo ona kuwa mbunge wake hawezi kunisumbuwa ktk kupata kura kiurahisi

nawaomba WANAJF tusiingiline ktk majimbo hii ni zaidi ya posho
 
Pinda kaidhinisha posho ? Au nimesoma vibaya ?
 
Unatania mpaka ianaonekana kama kweli au unasema kweli mpaka inaonekana kama utani?
 
Kuna mtu anayeweza kututengeneza jedwali la mapato ya mbunge kwa mwaka tuone hawa viumbe wana-make how much per annum?
 
pumbavu hawa serikali....kweli wafalme juha wapo wengi sana....wananchi wanateseka wao wanajipendelea.
 
imeshindikana vipi kwa madaktari???vipi umuhimu wa madaktari na madokta,upi ni muhimu kuliko wote??pinda nae mbunge posho huyo,hana lolote kazi kulialia tu
 
lakini hebu niambieni! sababu za kupandishiwa posho eti wamekopa sana kiasi cha mwisho wa mwezi kubaki na buku kadhaa tu. Hivi nani kawatuma kukopa? Mbona mateacher na Manurse na maafande wamekopa saaaaana mbona wao wasiongezewe posho. Ningetamani nimuulize hilo swali ila niliogopa asicry againi. Wana JF hili si jambo la kushabikia. hebu tukomae nae huhu mtoto wa mkulima aliyefanyiwa evolution baada ya kuvua gamba na kuwa mtoto wa matawi ya kati.
 
Back
Top Bottom