Viongozi vipofu na fikra potofu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi vipofu na fikra potofu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TumainiEl, Jan 26, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,894
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Nimeka nikawaza nakuwazuwa nikaona taifa langu tanzania taifa ninalo lipenda kwa moyo wangu wote linaenda ktk giza just b'coz ya viongozi vipofu na fikira potofu.

  Hakuna taifa lolote duniani ambalo limepata kuendelea ikiwa viongoz wake ni vipofu tena fikira zao zipo ktk giza, Tanzania imekuwa na wimbi la watu ambao niviongoz potofu tena fikira zao ni potofu lakin lakushangaza dola lina walinda, mimi najiuliza mwisho wa haya yote nini kama sio kutwangana sisi kwa sisi.

  Mimi ndipo nimeamua kuja na hii mada viongoz vipofu na fikra potofu. Niwakumbushe tu watanzania kama niwatu mnasikiliza habari, utagunduwa mara nyingi mambo yanafanywa na serikal yetu ni zima moto na kamwe hatujawah kuona serikali ikija na mpango mkakati ambao kweli utaondoa umasikini, ila wakati wote ni kuja na mipango inayo wavimbisha matumbo wachache.

  Tunayo changamoto ya elimu ila chakushangaza secto hii kubwa ambayo ndio ufumbuzi waumasikin wetu ila watu wanaruka ruka tu mara tuondoe somo hili tuweke somo hili,nenda ktk sector ya umeme,madini nk.

  Upofu upofu, mim leo ninaneno moja HAYA YANA MWISHO NA KAMA YUPO MUNGU ALIE FANYA YOTE YANAYO ONEKANA NAYASIO ONEKANA PUMZI ZAO WALAFI WATAIFA HILI ATAZIPUMZISHA NAKUINUA WATU WAADILIFU SOON.
   
Loading...