Baraza Vs Ngereja

Musambwa

New Member
Jan 15, 2012
1
0
Nichukue nafasi hii kumpongeza Raisi Mwai KIBAKA na wakenya wote kwa ujumla kwa hatua waliochukua kumuwajibisha Jaji Nancy Baraza kwa kile alichokifanya, kumbukeni ni takribani miaka 2 iliyopita Mh Ngereja alifanya kitendo kinachofanana na hicho kwa mlinzi wa ATM lakini hakuna hatua yoyote aliyochukuliwa, hata wanaharakati walikaa kimya.
 
ushkaji ndo uliotawala tusitegemee lolote jipya kutoka kwa hao mabazazi
 
umenikumbusha kweli,
hivi yule mlinzi wa ngeleja si alifukuzwa kazi,
na kuambiwa alikosa maadili, hebu nikumbushe mkuu.
 
Back
Top Bottom