Wanajamii. Natoka kilosa mjini kwenda Dumila. Tumefika katikati eneo la Msowero. Magari yamezuiwa na wakulima kupita tangu asubuhi. FFU wapo tayari eneo la tukio. Anasuburiwa Mkuu wa wilaya atoe...
Ndugu zangu,
Niliondoka Singida Mjini saa kumi na moja alfajiri kuelekea Dodoma. Kilomita 40 kutoka Manyoni nilikutana na hali hiyo pichani kunako saa kumi na mbili na nusu. Eneo la tukio...
Wadau pamoja na kuwa kunasehemu za kwenda kupata taarifa na gharama za kutembelea Mikumi national park lakini naomba kupitia jukwaa hili mwenye experience ya huko naomba animegee data kidogo...
TUMEAMUA KUWA WAJINGA?
UJINGA UNA FAIDA, UJINGA RAHA, UJINGA NI MAISHA MAREFU, TAZAMA NDOA ZINADUMU KWA SABABU MMOJA KAKUBALI KUWA MJINGA, TANZANIA INA AMANI KWA SABABU YA UJINGA WA...
source ni BBC ! watu waanza kupoteza maisha
mwananchi mmoja anayeitwa bi sikuzani mponda mkazi wa kibaha asikika radioni akiongea kwa uchungu.ahoji "kama serikali inaweza kuwasikiliza wabunge...
hivi ndugu yangu mtanzania!unajisikiaje unapoona na kusikia watanzania wenzako wa hali ya chini wakiendelea kufa hospitalini bila hatia,huku serikali ikizidi kuonesha ubabe kwa madaktari,kitendo...
ningependa nijuwe kama wapo,na ningefurahi sana kama ungejibu swali langu,je mnajisikiaje kuendesha TBC ambayo ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa au dini kwa upendeleo???Je...
Inasikitisha sana pale napopita kila kona ya mtaa na kukuta vijana hutumia lugha ya matus kuwasiliana! Kwa jamii ya leo maneno kama mse**e na ku** ma** na kawaida sana sasa je nayenyewe...
We talk a lot about Mwl.Julius K.Nyerere and Abeid Aman Karume, but it's time to be like them, as strong as them. They were mortal men like us and every one of us can be like them.
Tunapenda kuwapa taarifa wadau wote na wapenzi wa Tone Radio Tz.. Baada ya kukamilisha Tovuti yetu sasa Tumeanza matangazo Rasmi ya majaribio ambayo yatakuwa yanawajia kila siku mpaka hapo...
Habari za jioni!
Naomba msamaha iwapo nitakuwa mkosefu katika ufikishaji wa fikra zangu hapa, nimekuwa kimya kwa muda nikisoma mengi hapa na kufanya tafakuri kuangalia mashiko ya hoja katika...
Hakika siyo kwmb hili ni geni,"HAPANA" ni kumbukumbu inatoweka tu!
Swali:
Endapo Rais kasafiri,Makamu naye kakwaya pipa,vile vile Waziri Mkuu kaenda mamtoni naye.
Je? Nchi itakuwa ktk...
Marekebisho ya kwanza ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2010 yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni; Yawafundishe Wabunge wa CCM kutokukurupuka kwenye Masuala ya Msingi ya Kitaifa.
Nimesoma kwenye magazeti ya leo karibu mengi yanaongelea jinsi Waziri mkuu Pinda alivopinda (kukwepa) kuongea na Madaktari angalau asikilize kilio chao kama alivowasikiliza wabunge na hatimae jana...
Ushauri wangu kwa maktari waliogoma wasidanganyike na ahadi waliyopewa na serikali kwamba waingie kazini wakati serikali inashughulikia madai yao. Kinachoshangaza wabunge walijiongezea posho kimya...