January Makamba amutimua Ngeleja kwenye kamati ya Madini Dar

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Makamba alimutimua Ngeleja kwenye kikao cha kamati baada ya kukaidi agizo la kuleta Mikataba ya uchimbaji madini Uranium
 
Mwamakula, lini, wapi, kwa nini.

Ulichotupa ni nani kakuambia basi, tuomba majibu ya hayo maswali hapo juu.
Usiwe muvivu tafuta gzt majira leo au mwananchi.Wewe upo nchi gani mpaka unasema nani kaniambia?Au wewe ni Ngeleja?
 
Nakumbuka Wakati wa salamu za mwaka mpya Ngeleja aliwaamba waumini na Askofu kanisa la African Inland church kumuombea .
 
Usiwe muvivu tafuta gzt majira leo au mwananchi.Wewe upo nchi gani mpaka unasema nani kaniambia?Au wewe ni Ngeleja?

Mwamakula, soma vizuri nimesema ulichotupa ni nani kakuambia nikiwa na maana umetupa source tu, na kichwa cha habari. Hakuna habari ambayo umeiweka kwenye thread yako.

Issue hapa sio kuambiana vichwa vya habari, Bali ni kuchambua habari husika, kumbuka JF inasomwa sehemu kubwa mahali kwenye upatikanaji wa magazeti na kule ambapo hayapatikani, Ndio maana watu hupost habari nzima na watu huijadili.
 
Back
Top Bottom