Ndg zanguni!! Nimepitiwa,tukumbushane kwa hii,Rais,Makamu na Waziri Mkuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndg zanguni!! Nimepitiwa,tukumbushane kwa hii,Rais,Makamu na Waziri Mkuu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Jan 26, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hakika siyo kwmb hili ni geni,"HAPANA" ni kumbukumbu inatoweka tu!

  Swali:

  Endapo Rais kasafiri,Makamu naye kakwaya pipa,vile vile Waziri Mkuu kaenda mamtoni naye.

  Je? Nchi itakuwa ktk kauli ya nani?
  Maana Mi nilijua ingekuwa chini ya Jaji Mkuu!
  Niko sahihi?
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  maswali ya shuleni hayo
   
 3. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakuwa chini yangu!!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jama!

  Mpaka sasa sijapata mwenye kuwa na jibu kamili?
  Ama wote tumepitiwa na hili!
   
 5. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Spika wa bunge, kama hayupo then jaji mkuu
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,949
  Likes Received: 4,027
  Trophy Points: 280
  ............ama......kumbe JIBU kamili unalo!!!!!!!!???????????
   
 7. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,279
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Spika wa Bunge
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Bila shaka itakuwa ndio hivi!

  Hebu tuwasubirie wadau kwa mtazamo zaidi!
   
 9. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 688
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Sijui ala/
   
Loading...