Hivi ndivyo asemavyo Joseph Selasini ktk wallpost yake FB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndivyo asemavyo Joseph Selasini ktk wallpost yake FB

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Jan 26, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  [h=6]Marekebisho ya kwanza ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2010 yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni; Yawafundishe Wabunge wa CCM kutokukurupuka kwenye Masuala ya Msingi ya Kitaifa.[/h]
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Heh... Najuuuta! Kwa yeye kuwa mbunge wangu..
   
 3. L

  Lsk Senior Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ......napita tu!!
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2010??????.....kweli watu wengine ni vilaza.
   
 5. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,306
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Niliambiwa na mbunge mmoja wa magamba kuwa huyo bwana thirty ndiyo alianzisha ishu ya posho wakiwa kwenye kikao cha matayarisho ya kuanza bunge ambapo kila mtu hutoa ideas zake na yaliyofanyika jimboni kwake. Aliwaasa wabunge wote kuweka kando tofauti zao za vyama. Kama Kaka Cheyo kwenye posho ya jimbo vile. CHADEMA wanatakiwa kudili na shibuda na huyu thirty mapema.
   
 6. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  haswaaaaaa!!!!
   
 7. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huyo Selasini kwa kutoa pumba ndo mwenyewe tangu akiwa shule
   
Loading...