Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi kutakua na usalama kwa harakati za kukomboa wasanii ikiwa huyu mama ataingia madarakani? . Navyotambua huyu mama ana social life fulani na je uswahiba na kina Ruge haupo , ukizingatia Ruge...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habr zenu jf naomben kujua zaidi nini maana ya seneta na kazi yake ni nini?Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
11K Views
  • Closed
Dear Members Natamani mkusanyiko huu wa ACTIVE members JF ungelikuwa ni bunge fulani hivi likiwa na Speaker,Waziri mkuu,Mawaziri na wabunge kutoka vyama tofauti... je tungepewa fursa ya...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Hii ni aibu jamani jamani nimesoam gazeti natoa machozi tff wamewaka million 2 timu ya taifa ya wanawake kutoka million 10 walizopewa na wabunge...wakiongea kwa uchungu wachezaji hao ambao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni siku kadhaa katika kufuatilia yanayojiri nchini,vyombo vya habari,baadhi ya viongozi na baadhi ya kamati za bunge kwa kuonesha bidii katika kazi na uzalendo wa hali ya juu kudhibitisha kasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dodoma ni mji ulio katikati ya nchi. Mji ambao ndio uliopewa hadhi ya kuwa makao makuu ya serikali. Sifa hizi chache zinafanya uwe ni mji unaopokea wageni kwa wingi kutoka pande zote za nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
chadema oyeeee waweza toa maoni yako kuhusu na website mpya ya dr slaa kupitia mtandao wake mpya MAONI YANGU nimefurahishwa na hatua aliyoifikia mheshimiwa slaa na ni mwendelezo mzuri wa yeye...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari tarehe 26.1.2011,waziri Maige akiwa Hifadhi ya Taifa Saadani ulio agizo kuwa TANAPA iajiri wananchi wanaoishi karibu na Hifadhi hiyo, marufuku kuajiri wasio wakazi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF katika pitapita zangu kwenye mtandao leo nimejihudhurisha kwenye Tovuti Rasmi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika kusoma habari mbalimbali hapo mtandaoni nikakutana na hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ile hali ya magazeti yetu tuliyoyategemea kuwa na balanced info sasa yanaonesha kuyumba na kuelekea kupoteza weledi, nahau Lakini machache ni 1. Mwananchi imelaumiwa sana na serikali na hasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni kujuzwa kwa mwenye uptodates kuhusu wale walimu wenye shahada waliokosa ajira! Mke wangu ni mmoja kati ya waliokosa,maana hadi sasa kimya kimya, hakuna tamko au kauli yoyote toka wizarani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huduma zinazotelewa na baadhi ya wabunge kwa wapiga kura wao haziwezi kuhalalisha kwamba serikali iwaongezee wabunge posho za ziada kwa kuwa wanaishiwa kutokana na kutoa misaada kwa wapiga kura...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni baada ya Polisi mmoja kumjeruhi mwanafunzi wa kidato cha 3 wa shule moja ya Morogoro kwa kumpiga risasi mguuni siku ya maandamano ya kupinga wanafunzi wa Ndanda , Mwandishi wa jamboleo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Afya Dkt. Mponda wakati akiongea na media jana tar 26. By the way hivi malipo ya wenzetu hawa yakoje? Tuwekane wazi wadau.
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Nimepata habari hii kupitia sms ya mkononi ikinitaka kutuma kwa wananchi wengi zaidi, watu kuandamana siku ya tarehe 30 January 2012 saa tatu asubuhi kuelekea viwanja vya kisutu, kidongo chekundu...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Ukitaka kushangaa yanayo tokea nchini utachanganikiwa sana: Wakati Tanzania ikiwa imeridhia mkataba wa kimataifa wa kutekeleza na kulinda haki za watoto na kusimamia kwa karibu ulinzi wa haki za...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimekaa nimefikiria mpaka sasa nachanginyikiwa tusaidiane kutafakari hili Hivi karibuni Rais wa Zanzibar na aliapishwa hadharani kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri(tukio hili sikuwahi kuliona...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jf,leo katika taarifa ya habari za michezo pamoja na kwenye baadhi ya magazeti kuna taarifa kuwa zile sh.milion saba timu ya wanawake ya Twiga walizochangiwa na timu ya wabunge...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zaidi ya marehemu Regia kuwa mwanachama wa jf, pia alikuwa mwanasiasa. Wa chama gani, hapa ndio penye uzito wa mada hii. Ni ukweli usiofichika kuwa Regia alipendwa na kukubalika ndani na nje ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
nipo Burhani Charitable Health Centre, Wagonjwa ni wengi lakini kuna jamaa wanaendelea na Ujenzi (marekebisho ndani ya hospitali). Wanatindua zege, wanapiga kelele vibaya mno, nimewaambia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…