Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dakika chache baada ya kugawa ela pale kilala kwa wazee hata ambao si wapiga kura,kundi la vijana toka sing'isi lilipata taarifa za 'uvamizi huo wa wakati huu'na kujipanga kumpiga mawe ila...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu heshima. Muswada unapelekwa bungeni kurekebisha sheria ambayo ilisainiwa kwa mbwembwe na Rais, tena kabla haijaanza kutumika, kudhihirisha kuwa walioupitisha ni vilaza na ni maadui wa taifa...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Moderator please usiindoe hii, Tunawaomba viongozi wetu wa dini watuongoze kwenye maandamano katika hili la mgomo wa madaktari , tunakwisha. serikali ipo kimya mno katiak kuchugulikia swala hili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nimejaribu kufuatilia vyombo vya habari hasa Tv hawajaripoti sababu ya mjadala marekebisho ya sheria ya kuandaa katiba mpya uliyokuwa urudishwe bungeni leo kuahirishwa. Je hii inatokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna tetesi kuwa rais kikwete atakutana na wabunge wa ccm leo hii kabla ya saa kumi na moja jioni.bado sijapata taarifa kwamba kikao hicho ni shinikizo la wabunge au la.najitahidi kutafuta info...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mama na watoto wake wanaoishi ufukweni karibu na hospitali ya Ocean Road jijini Dar Mdau Gladys Kasesela akipozi na mama na watoto wake baada ya kuwapa zawadi ya miamvuli na nguo leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii kusema kweli sijaelewa serikali ya mkoa wa Dar es salaam, ilichokifanya kuwabomolea watu makazi yao huko Mabwepande. Hili sijajua tafsiri yake kama waliyajalii maisha ya wakazi wa jangwani...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Wanahabari wa vyombo mbali mbali mkoani Iringa leo jana walionyesha kuwa wao si watu wa kupelekwa pelekwa na chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa baada ya kugoma kulazwa katika gesti moja mji...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Imefika wakati sasa kwa mamlaka zinazohusika kusikiliza malalamiko ya wananchi ili ufumbuzi upatikane. Sasa hivi mitaani, kwenye mitandao ya jamii watu wanapiga kelele kuhusu wizi wa kampuni hii...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani, Barack Obama, chini ya mpango wa kudhibiti magonjwa ya zinaa (CDC), imezindua mradi wa tohara kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Romania amejiuzulu baada ya wananchi kuandamana,kutokana na Uchumi kuzorota ! Wananchi walitishwa ili wasitishe mgomo lakini waliendelea na mgomo wao umezaa matunda! Sisi tunasubiri...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
06 FEBRUARY 2012 *Yajenga jengo la AU Ethiopia Na Danny Matiko UMOJA wa Afrika (UA) hivi karibuni umepata jengo jipya la Makao Makuu yake yaliyopo mjini Addis Ababa, Ethiopia ambalo limejengwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye uwezo wa kutatua huu mgogoro wa ma dk ni Lowassa pekee ndie mwenye kuongea nao hao jamaa na wakamueelewa more info to come subirini soon wanarudi kazini
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kaka kibonde mimi binafsi nakuheshimu sana kama mmoja wa watanzania wachache wenye vipaji vizuri vya kuvutia watu'mkuu nimekusikilza sana muda huu mfupi inaonekana ulikerwa na yaliyoandikwa hapa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanabodi, Wale wasichana wadogo wanaojishughulisha na biashara ya kujiuza miili yao nyakati za usiku katika maeneo mbali mbali, sio wote wanafanya biashara hiyo kwa kupenda, bali wengi wamejikuta...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mbunge wa Zamani Jimbo la Njombe Magharibi Mhe Yono Kevela amempongeza Jk kwa kukubali hoja za Cdm ktk suala la katiba Mpya.Amesema Cdm ni chama kikuu cha upinzani ambacho kinawafuasi na wapenzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nadhan imefika haja kutokana na kupanda kwa gharama za maisha waajiriwa wote kupitia legislation na vyama vya wafanyakazi tunishinikize mishahara iwe inapanda kwa kutegemea rate ya inflation ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hEY
Hivi ni kwa nini wanaume wengi now days wanapenda kwenda sokoni badala ya wasichani shda ni nini?
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Kama viongozi wetu wako serious na mafsadi wasingeuma maneno..wangetaja bayana mafsadi ni hawa na msiwapigie kura. sio kusema ooh mafsadi mara hivi mara hivi..danganya toto hiyo, hakuna nia...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
​Nimefuatilia sana safari za huyu Muhishimiwa Makamu wa kwanza wa Rais Dr. Mohammed Gharib Bilal anapokuwa kwenye safari za kikazi hapa nchini ama nchi za nje kila wakati lazima aambatane na...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…