Ukinipiga umenionea!!! Ukiniacha umeniogopa!!!! Wabunge wa ccm njia panda

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Wakuu heshima.
Muswada unapelekwa bungeni kurekebisha sheria ambayo ilisainiwa kwa mbwembwe na Rais, tena kabla haijaanza kutumika, kudhihirisha kuwa walioupitisha ni vilaza na ni maadui wa taifa letu, Wakiridhia marekebisho ya sheria ambayo waliipitisha huku wakijua kuwa ilikuwa mbovu watakuwa wamedhihirisha kutuogopa (wananchi) na hawakujali maoni ya wadau wakati huo, hawatajijenga kwa namna yoyote!!!!! tutakuwa sahihi kuwachukia, wakipinga kuurekebisha watakuwa wametuonea, na chuki dhidi yao (wabunge wa ccm) itaongezeka mara dufu. Je ccm itaponea wapi? Je ni Kikwete au wabunge wa ccm ndio wanakiharakisha kifo cha ccm?
 
Back
Top Bottom