Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi show rooms nazipatia mashaka sana, watu wengi wanaoibiwa magari hapa Dar ni wale walionunua magari yao kwenye show rooms za maeneo hayo. Na uchunguzi wangu mdogo niliofanya magari mengi...
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Kumekuwa na tetesi nyingi juu ya hujuma zinazofanywa dhidi ya chadema ili kuidhoofisha!ni dhahiri kwamba tetesi hz huwezi kuzikwepesha na ccm ambao ni wazi kbs hawapendi mafanikio inayoyapata chdm...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi,leo nilitoka dar kuja tabora na basi la nbs ambalo lilichelewa kufika.Hivyo kwa sisi wageni ilitulazimu kutafuta nyumba za wageni.Nimezunguka karibu mji mzima ukiuliza zimejaa.Kwenye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamvi! Nimeshangazwa sana na habari kuwa Rais wa nchi amekutana na wamachinga wa Mwanza na kuwapa Tsh.10 ili kuongeza kwenye mitaji yao. Rais amenifanya nijiulize kama anatazuguka nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
William Ngeleja na Hamis Mgenja wapongezana kwa kutapeliwa! KWA siku mbili mfululizo kumekuwepo na propaganda na uzushi mkubwa unaonezwa kupitia njia mbalimbali kuwa Waziri William Ngeleja ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni Redio CLOUDS katika kipindi cha AMPLIFIER nimesikia mgonjwa mmoja katika hospitali ya Muhimbili akilalamika kwa Madaktati wanawaomba rushwa ili kuwapa huduma ya matibu. Aidha mama huyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii nimejaribu kufuatilia kwa kina sana ili nijue ni nini asili ya sisi KUOMBA! tumemshuhudia Raisi Kikwete kila kukicha yeye ni mguu na njia kwenda kuomba misaada! Katika kufuatilia kwangu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
wanajamvi nisaidieni, je ni kupuuzwa kwa mawazo ya wataalam?, Kutothaminiwa kwa wataalam? Nchi kuongozwa na wanasiasa ambao ambao hawathamini taaluma? Tanzania tunatumia fedha nyingi kusomesha...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
  • Closed
Hi. Tulifahamishwa na JF Marketer kuwa Halima Mdee angejiunga na Majamvi yetu kwaajili ya kutupa updates mbalimbali za kisiasa hasa kutokea Bungeni, lakini pia kwa kuzingatia kuwa kulikuwa na mada...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sijaona kama jambo la kawida chombo au vyombo vya humu nchini kutoripoti kikamilifu habari ya mgomo wa madactor,ninavyoelewa chombo cha habari kinampa taarifa mwananchi hali halisi ya siku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na hali inayoendele katika hospitali ya taifa kazi ya usomaji imekuwa ngumu kwa wanachuo wa mwaka wa 4 na 5 paoja na postgraduates. Mtaji mkubwa kwa wanachuo ni wagonjwa wanaolazwa mnh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utangulizi: Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imefuatilia matukio na maneno mbalimbali yaliyotolewa na CCM na viongozi wake wakuu akiwemo Mwenyekiti wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
na Ghisa Abby, Morogoro KATIBU Mwenezi wa Wilaya ya Kilosa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
.sasa hali ni mbaya muhi2. Mabingwa nao wamegoma, wagonjwa wanafukuzwa wodini.. kuna jambo sijalielewa.. DR MARINA NJELEKELA MKURUGENZI MKUU MUHIMBILI yuko wapi..! sijamsikia toka mgogoro huu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
mh godfrey zambi alitoa hoja kwamba kwa kuwa kuna taarifa ya mgomo wa madaktari bingwa basi ni vyema bunge likajadili suala hili katika hali ya dharura.spika makinda alipinga hoja hiyo na kusema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitika kusema kuwa nchi yetu, licha ya kupinga tamko la Uingereza na Marekani juu ya Haki za Mashoga, tayari Tanzania iliridhia haki za Mashoga tangu 2009. Kwa Mjibu wa Mkakati wa Taifa la...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi binafsi naona itawezekana baada ya Katiba Mpya kurudisha Serikali ya Tanganyika. Naomba wananchi wenzangu wa Zanzibar wakati wa kuandika Katiba mpya ukifika idai serikali ya Tanganyika...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Serikali yes inawezekana ni dhaifu kwa kuitazama in isolation kwa mabaya ambayo inafanya but sisi kama watanzania mmoja mmoja kwa umoja na wingi wetu tunafanya nini katika kumsaidia rais at least...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Kwa wahusika! Hizi ajali za boda boda kugongana na magari na kisha wao kujikusanya na kushambulia wenye magari na magari yao na kuleta hasara imekithiri sana, hata kama mwenye gari hana kosa na...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Back
Top Bottom