Mh Yono:Namupongeza Jk kukubali hoja za Chadema Mswaada Katiba Mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Yono:Namupongeza Jk kukubali hoja za Chadema Mswaada Katiba Mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Feb 6, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mbunge wa Zamani Jimbo la Njombe Magharibi Mhe Yono Kevela amempongeza Jk kwa kukubali hoja za Cdm ktk suala la katiba Mpya.Amesema Cdm ni chama kikuu cha upinzani ambacho kinawafuasi na wapenzi wengi kuliko hata CCM na hoja walizo wakilisha kwa Kikwete zinaungwa mkono na wananch wa kada mbalimbali nchini wakiwemo wasomi na viongozi wa dini.Suala la katiba ni la watu wote ni lazima wabunge wa ccm wajue kuwa katiba mpya si ya ccm peke bali ni ya wananch wote.Jk aliita vyama vyote na asasi zote kutoa mawazo sasa kama wabunge wa ccm walikosea ni lazima wakubali kukosolewa na sio kuendelea kupinga mswaada huo ambao una maslahi ya umma.Kuhusu posho amesema kuwa ,posho hizo zina sifa zote za kujilimbikizia mali hivyo ni bora rais azifute kabisa.Amesema ni bora Spika Makinda angefuata ushauli wa Kardinary Pengo ambaye ni kiongozi wake wa kiroho kuliko sasa ambapo ameanza kupingana na Rais wa nchi na kuanza kununiana kwenye majukwaa.Nampongenza Jk kwa kupinga nyongenza ya posho kwa kuwa maisha ya watu wa Njombe ni magumu sana .Ni afadhali Wabunge wagome kuliko madaktari,kwani wabunge wakigoma hakuna anaye kufa lakini madaktari wakigoma watu wanakufa.Ni bora posho hizo ziende kwa Madaktari.source:Mh Yono 0764668451
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Ameanza kupata akili huyu
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  hapo kafika JK kwa Hili la Posho Big Up, tangia mwaka jana 2010 sijawahi kukufagilia leo ndio nimeanza kwa kukubali mabadiliko, lakini usiwe mtu wa kujalibiwa, Makinda anakjalibu kwa kukununia
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo la hawa watu ndugu yangu wanapata akili baada tu ya kupoteza. Angekuwa mbunge huyu hizo kelele alizotoa hapo wala asingezitoa.
   
 5. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana la pongezi mnafiki mkubwa huyo anajipanga kurudisha jimbo 2015. Kama ansema kwa dhamira ya kweli basi achomoke kwa magamba fisadi atetee wananchi.
   
Loading...