Kwanini vyombo vya habari havijaripoti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini vyombo vya habari havijaripoti?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Feb 6, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakuu nimejaribu kufuatilia vyombo vya habari hasa Tv hawajaripoti sababu ya mjadala marekebisho ya sheria ya kuandaa katiba mpya uliyokuwa urudishwe bungeni leo kuahirishwa. Je hii inatokana na kulindana na chama kilicho madarakani? Au wanafanya kutoripoti kwa maslahi ya nani?
   
Loading...