Mashehe, ma-askofu, wachungaji jitokezeni kwa hili, waumini wenu tunaangamia.

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Moderator please usiindoe hii, Tunawaomba viongozi wetu wa dini watuongoze kwenye maandamano katika hili la mgomo wa madaktari , tunakwisha. serikali ipo kimya mno katiak kuchugulikia swala hili au inaenda polepole sana.Tutakwisha waumini wenu na hiyo serikali itabaki na nini? tegemeo yetu ni nyinyi kwa sasa.
 
Kwanza ninyi mnaoumia jitokezeni hadharani mpige kuumizwa ndani ya nchi yenu wenyewe! Watz wanastahili hayo wanayoyapata. Wamekuwa wapole mno nadhani matatizo hayajawabana vya kutosha
 
Wanyisanzu ni manamba kule kwetu, naona unatafuta kibarua ya kuwa housegirl mjini karibuni dar jiji la waislam
Je uko utafiti unaoonyesha ukweli kwamba idadi ya wafuga majini/ndugu zao vibwenge Dar ni wengi kwa idadi kuliko mikoa mingine?.
 
Je uko utafiti unaoonyesha ukweli kwamba idadi ya wafuga majini/ndugu zao vibwenge Dar ni wengi kwa idadi kuliko mikoa mingine?.

Dar imeshakuwa ya wote, tena wao wamefukuziwa mwanalomango, kisarawe e.t.c
 
Kwanza ninyi mnaoumia jitokezeni hadharani mpige kuumizwa ndani ya nchi yenu wenyewe! Watz wanastahili hayo wanayoyapata. Wamekuwa wapole mno nadhani matatizo hayajawabana vya kutosha
Vitabu vya dini vinawaagiza viongozi wetu wa dini kutusemea,, wawasemee wale wasioweza kujisemea, isimame kataka kweli na haki.
Ni muhimu wakituongoza na ukizingatia waumini wanawaamini sana viongozi hawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom