Tuige romania

marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,635
3,655
Waziri wa Romania amejiuzulu baada ya wananchi kuandamana,kutokana na Uchumi kuzorota !
Wananchi walitishwa ili wasitishe mgomo lakini waliendelea na mgomo wao umezaa matunda!

Sisi tunasubiri nini kuhusu huyu waziri wa afya?
Source TBC fm
 
Back
Top Bottom