Rais Kikwete kukutana na wabunge wa CCM leo hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete kukutana na wabunge wa CCM leo hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Feb 6, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna tetesi kuwa rais kikwete atakutana na wabunge wa ccm leo hii kabla ya saa kumi na moja jioni.bado sijapata taarifa kwamba kikao hicho ni shinikizo la wabunge au la.najitahidi kutafuta info zaidi nikifanikiwa nitatoa updates.
   
 2. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  ni sehemu ya kuweka mambo sawa,, urais ndy huo unapokutana na changamoto uoneshe ukomavu wako wa kukabiliana nazo
   
 3. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ni sahihi anajaribu kuwarudisha wabunge wa ccm waliomeguka kutaka kuididimiza serikali yake; mtoto w mkulima yamemshinda
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Badala akakutane na madr waliogoma kwanza yeye anaenda kuktana na wabunge....au kipaumbele chake ni kipi
   
 5. a

  alfime Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jahazi linaelekea kuzamaaaaa
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  anaenda kusign posho mbele yao...
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  posho lazima itaingia kwenye ajenda kwani hiki ndio chanzo cha mvutano!
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kuizunguka dunia.
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Hujuwi kuwa matatizo ya madaktari uchwara yanashughulikiwa na kamati ya bunge? magwanda wakiwemo.

  Kama ni kweli akimaliza kukutana na wabunge wa CCM basi atakutana na wa magwanda, hapo ndipo Kikwete anapojuwa kuwapatia, juisi na kashata kidogo, kusuta kote hakuna. Kama watoto wadogo vile.
   
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ndio maana wabunge wa CCM leo walitangaziwa bungeni wasizime simu zao na wasiende mbali maana wanaweza wakahitajika wakati wowote.Tunasubiri kitakachojiri.
   
 11. M

  Mgengeli Senior Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikwete bado hajatambua kuwa yeye ndiye rais wa TZ anababaika sana hana maamumzi nchi ya wadanganyika imemshinda kuongoza hata akikutana na wabunge wake hana ubavu ninafikiri 2014 ndipo atatambua nafasi yake poleni watanzania nawahurumia sana
   
 12. n

  ngokowalwa Senior Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni wabunge maana wanaweza kutikisa kiti chake na mustakabali wake wa maisha baada ya mago**ni
   
 13. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,045
  Likes Received: 8,533
  Trophy Points: 280
  nadhani ungejihurumia wewe kwanza maana hujui hata unalolisema
   
 14. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,807
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  Kwani Bwn JK wasafari amerudi...?
   
 15. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,278
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 280
  Hata bia zimepanda bei, nawashauri walevi wenzangu tugomee na sisi iwe "glass down"
   
 16. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anajaribu kupoza mambo... Yatamshinda tu.
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  ameshafika na nimepita ikulu yake nimeona msafara wake wa magari lukuki...
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hakuna haja ya kukutana nao.
  atatue tu. basi.
  Madai anayo mezani
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Thubutuuuuuu!!!
  Hapa nimegoma kutibu lakini gilasi juuuuuuuuuu!!!
  Nakata rum moja matata!
   
 20. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Angalia maneno yako, ukiugua ujue pa kwenda Pambaf we.!!!
   
Loading...