Mishahara inatakiwa ipande kwa kigezo cha inflation rate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara inatakiwa ipande kwa kigezo cha inflation rate!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bona, Feb 6, 2012.

 1. bona

  bona JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  nadhan imefika haja kutokana na kupanda kwa gharama za maisha waajiriwa wote kupitia legislation na vyama vya wafanyakazi tunishinikize mishahara iwe inapanda kwa kutegemea rate ya inflation ili iweze kurelfect na uhalisia wa maisha, kwa mfano kwa kua inflation mwaka huu ni karibu 20% basi kila mahari mishahara ipande kwa rate hiyo na mwaka inflation rate ikiwa 0% mishara isipande kabisa, vinginevyo tunaumizana tu!
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  bona: nakuunga mkono kwa kiwango kikubwa, endapo tukishirikiana kwa pamoja tunaweza kufanikiwa, Hii hali si nzuri kwakweli haivumiliki.
   
Loading...