Mkuu Kibonde mimi naandika!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kaka kibonde mimi binafsi nakuheshimu sana kama mmoja wa watanzania wachache wenye vipaji vizuri vya kuvutia watu'mkuu nimekusikilza sana muda huu mfupi inaonekana ulikerwa na yaliyoandikwa hapa last week'mkuu potezea na endelea kupiga kazi mkuu tupo tunakusikiliza''mimi ni msikilizaji no 1 wa kipindi chako'ombi langu naomba sana mwondoe huyo kilaza wasiwasi hafai kukaa hapo kabisa sijui nani alimleta hapo'asante kaka kibonde
 
Kwani Kasema Nini? au ni jinsi alivyohudumiwa na madaktari wenye huruma mwaka 2007?
 
"Kibonde" tu kinawapa shida, kitakapofikia kuwa korongo je! kiacheni bana!
 
hata mimi nampenda'najua njaa ndio inayopelekea kufika huko!
 
ivi hamna vya kudiscus zaid ya kibonde, mwachen aendelee kutafuta mkate wake wa kila siku kwa stail hiyo, zea ar tings zat ar legal bt ilogical
 
Makubwa!!ngoja nisubiri nijue kasema nn ndo ntarudi.

kahimiza serikali ifanye jitihada za haraka.. Kuhusu kamati ya bunge kasema mambo hayo yanachukua muda mrefu,tukifikiria watu wanapoteza maisha... Wengine wametokea mikoa ya mbali.. Halafu waambiwe waondoke watafute huduma hospitali nyingine...
Kiukweli..kaongea vizuri..tena sana tu... Ni tofauti na ile ya wiki iliyopita ambayo sikuisikiliza..

Mi natumia satelllite dish.. So naisikia kupitia TBC,unatune radio,hapo unapata TBC FM, Clouds FM,na TBC Taifa.. Si wajua mikoani tena..
 
mnampa ujiko wa bure huyu mpganaj anajfanya kila kitu anajua nlifurah siku ile vasco dagama alivyompotezea wkt alijiandaa kwa muda kuuliza lile swali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom