Madaktari waliogoma wanawaomba wagonjwa rushwa ili kuwatibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari waliogoma wanawaomba wagonjwa rushwa ili kuwatibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Feb 6, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Leo ni Redio CLOUDS katika kipindi cha AMPLIFIER nimesikia mgonjwa mmoja katika hospitali ya Muhimbili akilalamika kwa Madaktati wanawaomba rushwa ili kuwapa huduma ya matibu. Aidha mama huyo amesema Madaktari wamekuwa wakiwatolea maneno makali kama vile "NENDENI mkafie kwa wanajeshi wenu" n.k.

  TAKUKURU pigeni kambi mahospitalini huko ili kuwanasa hao wauaji.
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mtatuchafua sana mwaka huu lakini hatutatetereshwa na hayo...huyo daktari aliyegoma ametokea wapi wodini au clinic mpaka akombe rushwa? Huyo daktari aliyekuwepo hospitali mpaka akapata wasaha wa kuomba rushwa hajagoma, ndio hao Serikali inajitambia. Tuliogoma tunataka malipo halali toka serikalini, na sio kumkamua mlala hoi mwenzetu!
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  watakua ni wale madaktari wanajeshi!pinda analijua hili?
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Watakua wanajeshi hao..
   
 5. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyo atakuwa mwanajeshi anajifunza kuomba ccd......
   
 6. S

  Shansila Senior Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi inapokuwa vitani,propaganda huwa nyingi kushinda habari za kweli.Mara utasikia jeshi letu limeua maadui 60,wao wameua askari wetu m1 tu.Tazama sasa propaganda hizi hapa Tz kuhusu mgomo wa madkt!Mara utasikia wamerudi kazini,mara hakuna mgonjwa aliyekufa kwa kukosa huduma,mara viongozi wao wamekamatwa n.k!Na hii nahisi ni propaganda tu,huyu ni kati ya wanaotumiwa kutia maji kwenye moto!Vyombo vyetu vya habari vinatangaza habari njema tu wakati watu wanapukutika kwa kukosa huduma hospitalini.
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,674
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kumbe bado tunao watu wanaofikiria kwa kina boss!

  Katika propaganda hii kuna mbinu nyingi zinatumika, kwanza alianza pinda kwa kumsiliba Dr. Ulimboka,kisha ikaja ya Mponda bungeni.

  Sasa mada imebadilishwa, wanasema mgomo ni kwa ajili ya maslahi ya madaktari tu, wanafunika hoja ya kuboreshwa kwa huduma za afya kwa ujumla. Na bahati mbaya watu wengi wamedanganyika, ukiwasikia hata wale wanaounga mkono madaktari, wanasema oh, madaktari walipwe lkn wanasahau pia kuwa hilo ya maslahi ni kati ya madai mengi yenye maslahi, sio tu kwa madaktari bali pia kwa jamii nzima.
   
 8. m

  mariavictima Senior Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kwa nini hao TAKUKURU kama wana ubavu wasiende kupiga kambi TRA, MAHAKAMANI, TRAFIC, UHAMIAJI na kwingineko? Tumia akili kufikiria acha kutumia masaburi.
   
 9. M

  MyTz JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nafikiri wewe uliyeiweka serikali hii madarakani kwa kutumia kura yako ndio muuaji.............
  kwani umefanya kosa ambalo ulikuwa unajua kwamba litakuua wewe pamoja na sisi jamii inayokuzunguka.............
  hapo kwenye madaktari, sema madaktari wa jeshi coz ndio waliopo MNH wanatoa huduma..............
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah
  hawa wajelajela ukifika kama
  akikuangalia uso unang'aa unakiula kwata
   
Loading...