Ushauri kwa serikali

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kwa wahusika!
Hizi ajali za boda boda kugongana na magari na kisha wao kujikusanya na kushambulia wenye magari na magari yao na kuleta hasara imekithiri sana, hata kama mwenye gari hana kosa na kosa ni la mwendesha boda boda wao hawaangalii kabisa. Nina shauri wahusika kuwa hizi boda boda zipigwe marufuku kabisa kuingia katikati ya miji na huduma zao wazifanyie pembezoni mwa miji kama walivyofanya kwa haice a.k.a vipanya. Hii itasaidia kwa kiwango kikubwa kuepusha ajali . Wahusika na huenda mpo hata humu jf embu tulifikirie hili suala ni limezidi mno na kuleta mambo yasiyo ya msingi kwenye jamii.
Asanteh
 
Yaani nilipokuwa naandika hii kumbe ajali tayari ya bodaboda imetokea pale makumbusho
 
Back
Top Bottom