Watanzania taifa la watu wa kulalamika kila leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania taifa la watu wa kulalamika kila leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wakupita, Feb 7, 2012.

 1. w

  wakupita Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Serikali yes inawezekana ni dhaifu kwa kuitazama in isolation kwa mabaya ambayo inafanya but sisi kama watanzania mmoja mmoja kwa umoja na wingi wetu tunafanya nini katika kumsaidia rais at least aifanye tanzania kuwa sehem bora ya kuishi.JF great thinkers always mtakuja na post za kumponda kikwete na serikali yake but hamna (labda zipo ila sijawahi kuziona) thread za mawazo mbadala ya kumsaidia rais (coz tukatae tukubali kikwete ndo rais wetu hata mtu wenu dr slaa amelikubali),Lets wake up people this country is ours and nobody will built or destroy it but us,if JF is for great thinkers then lets us at least come up with altenatives to disaster facing our country badala ya kila cku kikwete hivi kikwete vile it will never help our cause!
   
Loading...