Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,730
492
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
Naamini Star TV wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!
 
Dah, Hizi Siasa za kutokubari kwa kila jambo lazima siku moja zitaleta balaa.
 
mkuu hizi habari ni nzito, unajua mimi nilishasema kwenye post zangu zilizopita kuhusu hawa wenzetu vitendo walivyovifanya kwa kuwasomba watu kuja kuivuruga sherehe yetu
 
Hii habari inaonyesha ni ya uongo na kutaka watu kukiona cdm ni chama cha wahuni ndo maana habari yenyewe haina source
 
Huenda, hii ndio ile idara ya propaganda aliyoihimiza Kikwete kufanya kazi yake wakati wa hotuba yake jana CCM Kirumba!
 
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!

Kumekucha mwanza, na sie CDM makao makuu ndio hatuna pesa, chama kimekuwa muflisi, endeleeni kugombana tu mpaka wote muuwane !

Siku hizi hata simu za Mchina zinapiga picha kinakushinda nini kututumia hiyo picha ya hata kijana mmoja aliyeko mbele ya hizo ofisi za CDM. Hata akiwa amepumzika tu sisi tutakuamini
 
Siku hizi hata simu za Mchina zinapiga picha kinakushinda nini kututumia hiyo picha ya hata kijana mmoja aliyeko mbele ya hizo ofisi za CDM. Hata akiwa amepumzika tu sisi tutakuamini

Nape huu ujinga wapelekee mafisadi wenzako. sisi sio vilaza wenzako.
 
hizi tabia za propaganda za kijinga haziwezi kuiokoa ccm nyie magamba kafieni mbali
 
Hy propaganda watafanya kwa cdm na mwisho itawatafuna wenyewe!umeonaeeeeh vijana wa cdm musoma si wa hivyo!
 
Muongo huyo fukuzaaaaaaaaaaaa!Kwanza hamna wilaya ya Mwanza,kuna wilaya za Nyamagana na Ilemela na kote cdm ina ofisi na uongozi,otherwise atuambie hiyo wilaya imeanza lini ili cdm tukasimike uongozi.
 
Nawezaje tuma picha hapa JF kwa kutumia blackberry? Naomba Msaada nirushe picha zao
 
Back
Top Bottom