Katibu Mwenezi CHADEMA atimkia CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mwenezi CHADEMA atimkia CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dume la Mende, Feb 7, 2012.

 1. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [TABLE="width: 879"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD]  na Ghisa Abby, Morogoro


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] [TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD] KATIBU Mwenezi wa Wilaya ya Kilosa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Raymond Mlama na mjumbe mmoja, Penford Chimola, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

  Wakizungumza juu ya uamuzi wao huo, wanasiasa hao walisema kuwa wamehamia CCM baada ya kuona kuwa sera zake zinaridhisha zikiwalenga watu wote.
  Viongozi hao ambao walifikia uamuzi huo juzi kwenye maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kilosa kwenye mji mdogo wa Gairo.
  Mlama alisema kuwa wananchi wanaoshabikia CHADEMA hawajui ubabaishaji ulioko ndani ya chama hicho na kwamba yeye kama kiongozi ameona ndiyo maana hakuona sababu ya kuendelea kubakia huko.
  Alisema kuwa ameamua kujiunga na CCM kutokana na kuona sera zake zinaeleweka na kwamba hakuna ubabaishaji kama ilivyo CHADEMA.
  Kwa upande wake, Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Asha Kipangula, alisema kuwa wanawapokea wale wote wanaotaka kurudi bila ubaguzi na kuwataka kutoogopa kurejea kutoka upinzani.

  My take: Kufikia 2015 CDM itakuwa dhoofu likhali


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,556
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Kabla hujaanzisha thread uwe na tabia ya kujiridhisha kama tayari ipo au hapana.Hii tayari ipo..!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Jamaa yuko kikazi zaidi huyo!
  Kuna bei (price)ya ku'recycle thread, kwa taarifa yako!...kalagabhaho!
   
 4. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
 5. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Umekalia hayo
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Please uwe unaweka heading vizuri bwana,sema katibu wa mwenezi wilaya usije ukatutusha hapa watu
   
Loading...