Dr Marina a Njelekela..maliza ''honeymoon''

nronga

Member
Jan 20, 2010
22
1
.sasa hali ni mbaya muhi2. Mabingwa nao wamegoma, wagonjwa wanafukuzwa wodini.. kuna jambo sijalielewa.. DR MARINA NJELEKELA MKURUGENZI MKUU MUHIMBILI yuko wapi..! sijamsikia toka mgogoro huu uanze.! au ametangulia KUJIUZULU.?? au yuko HONEYMOON.??
 
Kwani yeye siyo mwanachama MAT? Nimesikia huyu mama ni msaidizi wa dr Uli kwenye kale kakamati ketu.
 
.sasa hali ni mbaya muhi2. Mabingwa nao wamegoma, wagonjwa wanafukuzwa wodini.. kuna jambo sijalielewa.. DR MARINA NJELEKELA MKURUGENZI MKUU MUHIMBILI yuko wapi..! sijamsikia toka mgogoro huu uanze.! au ametangulia KUJIUZULU.?? au yuko HONEYMOON.??

Huyu martina ni kati ya watu waliosababisha huu mgomo...wakuregunzi pale muhimbili ...huwa wana utaratibu wa kuwalipa madaktari wanafunzi kwa kutumia mapato ya ndani ikitokea serikali inachelewesha pesa.......sasa alifanya kiburi kuwalipa kwa madai hajapewa pesa na wizara....[ na huenda alifanya hivyo kumkomoa mwanamke mwenzake Blandina...so akaamua kumrudishia madaktari wake..]...sidhani kama alishindwa kupata milioni 170 za kuwalipa ...wakati anangojea bajeti toka wizara ya afya....ikijulikana kuwa serikali ina uhaba wa fedha........wanawake wanapenda kukomoana!!

Tunafika haapa kwa kuwa serikali hii inakazania kuwapa wanawake kazi kwa kuangalia kigezo cha feminine..bila kuangalia uwezo....just kwa kuwa daktari njelekela alifanya kazi nzuri ya fundrising WAMA haina maanaa kuwa anaweza kuwa mkurugenzi wa shirika kubwa kama muhimbili......tujifunze ..wanawake wenye uwezo wapo ....wapewe in merit!!!

lakini siku hizi its too much mara ....uspika ..safari ya wan awake?? mwenyekiti safari ya wan awake??? urais safari ya wan awake....??? tuwashindanishe na wanaume na wenye uwezo watashinda tu!!
 
Anasubiri nini kujiuzuru? Dr Njelekela bwana, hivi ulipokuwa pale chuo na MEWATA mbona maisha yako yalikuwa mazuri? sasa unaishi kwa stress eti kisa unatetea ujinga wa mama Blandina , wizara na serikali yake. Utakuja kumbuka shuka asubuhi ooooooh!
 
Kwani siku hizi Dr Njelekela ndio mkurugenzi wa MNH?

Makubwa haya. Sasa wote wa saratani ya matiti (Mewata) wamepata ulaji.

Hongera Dr Njelekela. Surgeon la nguvu hilo..
 
Kwani siku hizi Dr Njelekela ndio mkurugenzi wa MNH?

Makubwa haya. Sasa wote wa saratani ya matiti (Mewata) wamepata ulaji.

Hongera Dr Njelekela. Surgeon la nguvu hilo..

acha kuropoka wewe! Njelekela siyo surgeon,au umemchanganya na dr magandi? Huyu alikuwa lecturer wa physiology muhas.
 
Nadhani uliyetuma hii taarifa hujafanya utafiti wa kina, ni majungu tu.
Dr njelekela anapokea hao madaktari toka wizarani na hela zao hulipiwa hapa MNH, sasa kama hajaletewa hela alipe na nini? Pia yeye hahusiki moja kwa moja nao kuna wizara ndiyo inapanga nenda hospitali fulani kafanye intern. Kila mkoa wanapangwa wanafunzi na kupelekewa hela huko, ndiyo maana bugando, kcmc n.k hajazungumza.

Pia kama issue anashughulikia mkubwa wako wewe huku chini unataka aseme nini?
Ni majungu pia maana yeye kuwa CEO wewe kunakuumiza nini, naomba lete point watu wajadili

Back
Top Bottom